Mwene chungu JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 915 Reaction score 754 Mar 26, 2017 #2 Kwani undhani ukiwa mwizi unakuwa hujijui? Lakin kwa sabab ni kipaji unakuwaa unatamani kuacha unashindwa kwa sabab ni kipaji
Kwani undhani ukiwa mwizi unakuwa hujijui? Lakin kwa sabab ni kipaji unakuwaa unatamani kuacha unashindwa kwa sabab ni kipaji
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,128 Mar 26, 2017 #3 Dikteta ni wa kupingwa kwa nguvu zote, ni wa kudharauliwa kabisa na kuzomewa popote anapoonekana
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,724 Reaction score 6,894 Mar 26, 2017 Thread starter #4 MKWEPA KODI said: Dikteta ni wa kupingwa kwa nguvu zote, ni wa kudharauliwa kabisa na kuzomewa popote anapoonekana Click to expand... mkuu utaoneshwa cha mtema kuni
MKWEPA KODI said: Dikteta ni wa kupingwa kwa nguvu zote, ni wa kudharauliwa kabisa na kuzomewa popote anapoonekana Click to expand... mkuu utaoneshwa cha mtema kuni
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,977 Reaction score 14,106 Mar 26, 2017 #5 Bora kikwete apindue nchi arud tu