Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,709
- 6,635
Ngoja naisubili majibu ya mwanasheria mkuu wa serikali na waziri wa Sheri mheshimiwa Kabudi, ndyo nitakuja kuchangia Kila la kheri mkuu .
na maana enzi hzo illiteracy rate ilkua kubwa sana wananchi weng walkua hawajasoma tofaut na sasaUnaposema aliongoza wajinga una maana gani?
Maana ya demokrasia tunaambiwa ni pamoja na uwepo wa vyama vingi. Kinyume chake ni udikteta.Nyerere hakulazimisha mtu kupenda vyama vingi. Mfumo wa vyama vingi ulikua haukwepeki kutokana na mabadiliko ya uchumi wa Dunia na misaada ya benk ya Dunia.(Structural Adjustment Program).
Angalau Nyerere alikua au alifuta mfumo wa vyama vingi na akaendesha nchi bila huo mfumo, kwa sasa huo mfumo tunao ila watu wanataka kuendesha nchi kama vile hakuna huo mfumo.
Lazima tuheshim mfumo tuliokubaliana kua nao kikatiba, kama mtu anaona sio mzuri basi afanye kama Nyerere, aufute atawale kama Nyerere.
Waafrika tuna matatizo ya kutoheshim sheria na taratibu hata tulizojipangia wenyewe.
hapo atapata majibu 100%Kalili hayo maneno aliyoongea nyerere halafu itisha press conference pale habari maelezo na uyazungumze bila kuongeza wala kupunguza lolote ,ndipo utapata majibu mujarabu
Ukitaka kujua madhara ya demokrasia iapply nyumbani kwako.
Mwanao awe na uhuru wa mawazo, akiamua siendi shule - mwambie hewala.
akikwambia kuangalia katuni ni bora kuliko kusoma - mwambie sawa mwanangu! Hiyo ndio demokrasia.
Ikiwa anachofanya Magufuli ni "udikteta" basi nimegundua Demokrasia ndio ADUI mkuu wa waatanzania na ndiye chanzo cha UMASKINI wetu.
Siasa za enzi za Nyerere ni tofauti na za sasa .......... Siasa za wakati ule zilikuwa za East and West, Capitalists and Socialists, Moto au Baridi ..........!! Ni kipindi ambacho nchi kupinduliwa au Marais kuuawa ilikuwa ni jambo la kawaida. Madkteta wa wakati ule wanajulikana and you know it better ................!!Hakuna Rais aliyekuws anaogopwa Tanzania kama Mwl Nyerere.
Kama sifa ya udikteta ni kuogopwa basi Mwl. Nyerere alikuwa ni dikteta.
Kikubwa zaidi yeye aliamua hata kuondoa kwenye katiba kifungu kinachohusu haki za binadamu.
Yeye aliingia madarakani kwa njia ya vyama vingi lakini alipoapishwa akaamua kufuta vyama vingi lakini cha kushangaza zaidi, alipong'atuka kutokana na nchi kuelekea kufirisika, akaamua kuwalazimisha wengine waanzishe mfumo wa vyama vingi.
Ninakuhakikishia kama utawala wa Mwl. Nyerere ungekuwa ndio kwa sasa, hata hawa wanaosema Rais Mgufuli ni dikteta wasige thubutu hata kutamka maneno wanayotamka.
Huwa ninawashangaa sana watu wanajaribu kujenga hoja kuhusu haki za binadamu kwa kutumia kioo cha utawala,wa Mwl. Nyerete.
Kwa hiyo kama ji udikteta, basi tumwangalie Rais Magufuli kwa kutumia kioo cha matendo ya Mwl. Nyerere wakati akiwa Rais wa Tanzania.
Kwangu mimi sioni tofauti ya kuvunja katiba au kuibadilisha katiba na kuwa katika msingi wa udikteta.
Mwl. Nyerere alikuwa anaibadilisha katiba ili kuimarisha udikteta wake huku akidai ni kosa kuvunja katiba. Mwl. Nyerere hakuhitaji kuvunja katiba kwa sababu alikuwa na uwezo wa kuibadilisha apendavyo.
Hakuna Rais aliyekuws anaogopwa Tanzania kama Mwl Nyerere.

mimi nachangia...Magufuli ni dikteta na ni lazima tuandamane!
Wenzako wako kwenye mchakato wa kumwita Mwal. Nyerere mwenye heri, wewe unasema vinginevyo. Kwa mtazamo wako "Mkuu" ni afadhali kuliko Mwal. Nyerere? Crap!!Hakuna Rais aliyekuws anaogopwa Tanzania kama Mwl Nyerere.
Kama sifa ya udikteta ni kuogopwa basi Mwl. Nyerere alikuwa ni dikteta.
Kikubwa zaidi yeye aliamua hata kuondoa kwenye katiba kifungu kinachohusu haki za binadamu.
Yeye aliingia madarakani kwa njia ya vyama vingi lakini alipoapishwa akaamua kufuta vyama vingi lakini cha kushangaza zaidi, alipong'atuka kutokana na nchi kuelekea kufirisika, akaamua kuwalazimisha wengine waanzishe mfumo wa vyama vingi.
Ninakuhakikishia kama utawala wa Mwl. Nyerere ungekuwa ndio kwa sasa, hata hawa wanaosema Rais Mgufuli ni dikteta wasige thubutu hata kutamka maneno wanayotamka.
Huwa ninawashangaa sana watu wanajaribu kujenga hoja kuhusu haki za binadamu kwa kutumia kioo cha utawala,wa Mwl. Nyerete.
Kwa hiyo kama ji udikteta, basi tumwangalie Rais Magufuli kwa kutumia kioo cha matendo ya Mwl. Nyerere wakati akiwa Rais wa Tanzania.
Kwangu mimi sioni tofauti ya kuvunja katiba au kuibadilisha katiba na kuwa katika msingi wa udikteta.
Mwl. Nyerere alikuwa anaibadilisha katiba ili kuimarisha udikteta wake huku akidai ni kosa kuvunja katiba. Mwl. Nyerere hakuhitaji kuvunja katiba kwa sababu alikuwa na uwezo wa kuibadilisha apendavyo.
Nani alikudanganya kuwa kutenda dhambi kunakuondoa katika kuwa mtakatifu?Wenzako wako kwenye mchakato wa kumwita Mwal. Nyerere mwenye heri, wewe unasema vinginevyo. Kwa mtazamo wako "Mkuu" ni afadhali kuliko Mwal. Nyerere? Crap!!
Miaka 24 sio 14I promise you mtatawaliwa na dictactos mkiogopa ogopa namna hii nyinyi wabunge,nani wote mkiogopa you will be under dictatorship
Mwaka 1994 sio mbali sana leo takribani miaka 14 imeshapita hatimaye unabii unatimia
RIP Mwalimu Mungu alikupa jicho la rohoni uliona TZ itaangukia wapi sasa mwiba uko kooni mwetu