Udikiteta Tanzania: Je, Rais Magufuli kweli ni dikiteta au wanamsingizia tu? Msikie Mwalimu Nyerere kuhusu udikiteta!

Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali kuhusu Huu udikiteta unaozungumzwa sana kwenye mitandao kuwa Tanzania tunatawaliwa kidikiteta, na watu kudai kuwa rais Magufuli ni dikiteta hadi kutaka kuandamana tena hiyo tarehe 26/04/2018. Hili ni bandiko la swali kuhusu huu udikiteta, kwanza kama ni kweli upo, au ni dhana tuu ya watu waliofilisika kisiasa, baada ya kushindwa kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi huru na wa haki, hivyo hoja ya udikiteta ni dhana tuu ya kizushi, kwa hoja kuwa Tanzania hakuna udikiteta wowote, bali ukweli ni kuwa Tanzania ilikuwa ni nchi iliyopinda sana kwa miaka mingi kwa rushwa, ufisadi, ubadhirifu na uzembe, anachokifanya rais Magufuli ni kuinyoosha nchi hii iliyopinda ili ikae kwenye mstari, na ni katika kunyoosha huku, watu waliopinda na kuipindisha, lazima wanyooke, na katika kunyooka huku, wanaumia, na ndio hawa wanaopiga hizi kelele za udikite Tanzania?.

Sio mara moja au mara mbili, Tanzania imekuwa ikizungumziwa kuwa inatawaliwa kidikiteta, Vyama vilivyounda UKAWA, vikahamasisha maandamano nchi nzima kwa jina la UKUTA, ili kupinga udikiteta, serikali ikatumia nguvu zake zote kuyapinga, na kweli yakasitishwa, sasa Watanzania kote ulimwenguni, wamahamasishwa kujitokeza tena kuandamana siku ya tarehe 26 April,mwaka huu 2018 ili kupinga udikiteta ambayo nayo tayari yameisha pigwa marufuku.

Hivyo hii mada ya kujiulizwa swali moja tuu kuhusu huu udikiteta unaozungumzwa nchini Tanzania, Jee ni kweli Tanzania tuko kwenye utawala wa kidikiteta?, Jee ni kweli rais Magufuli ni Dikiteta?. Andamana name.

Hapa swali la msingi ni jee huu udikiteta unaozungumzwa nchini Tanzania ya leo, ni kweli upo na una exist in reality au ni uzushi tuu wa jambo la kufikirika tuu ndani ya mawazo ya watu waliofilisika kisiasa baada ya kushindwa kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi huru na wa haki, sasa wana zusha dhana za kizushi udikiteta ili tuu kujifariji na kipigo cha mwereka kwenye sanduku la kura?.

Tangu baada ya kuibuka kwa dhana ya udikiteta nchini Tanzania, nimeanza kushuhudia baadhi ya watu na taasisi zikianza kutoa matamko na kauli za kujiumauma na kujichanganya kuhusu udikiteta, huku wengine wakitoa kauli za kujikombakomba, wengine wakiongea kwa uoga uoga kuhusu huu udikiteta, huku wengine wakiamini kabisa kuwa Tanzania tuko kwenye udikiteta na wengine wakisema hakuna udikiteta Tanzania , ali mradi kila mtu anasema lwake!, hivyo ili kumaliza ubishi, naomba kwanza kibali chenu tumfufue kidogo Baba wa Taifa, hili, Mwalimu Nyerere tumuulize kwanza, kiongozi mwenye udikiteta ni kiongozi wa namna gani au ni kiongozi mwenye tabia gani?.

Msome Mwalimu Nyerere kuhusu udikiteta na hapa nina mnukuu...

1470768190261-jpg.378704

View attachment 378704

Tena Mwalimu Nyerere, hakuishia hapo, miaka mingi nyuma, alizungumza kama Nabii, kuhusu huu udikiteta unaozungumzwa sasa nchini Tanzania, tena wengi wa kizazi cha sasa, maneno ya Mwalimu Nyerere wanafanya kuhadithiwa tuu kama hadithi, lakini mimi nakiri kuwa nilikuwa ni mmoja miongoni mwa watu wachache wenye bahati ya kuwepo mahali Mwalimu alipozungumzia udikiteta na kumsikia Mwalimu akizungumza sio tuu kwenye redio , RTD ya enzi hizo, bali kwa kukaa chini kwenye sakafu ya kiambazani cha nyumbani kwake Msasani maana viti vilijaa waandishi wakubwa zetu wa enzi hizo, sisi tukiwa ni waandishi wachanga, tukiwa TSJ, nakumbuka ilikuwa ni 1993 au 1994,

naomba pia niwasaidie wavuvu wa kusikiliza video. kwa kuwaandikia Mwalimu amesema nini na hapa ninamnukuu

“Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi (Katiba) tusiogope, mkianza, mkiwa na woga, I’m, I promise you, mtatawaliwa na dictators, (huku anacheka), I promise you, mkiogopa ogopa namna hii, nyinyi, wabunge, nani, wote mkiogopa ogopa, mkisema mzee wanakuwa wakali, then you are making it absolutely certain, you will be under a dictatorship" mwisho wa kunukuu.

Na baada ya kumsikia Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akizungumzia sifa za kiongozi dikiteta, na kusema iwapo kutajitokeza kiongozi mwenye sifa hizo, Watanzania tunatakiwa kufanya nini, kabla hatuja kwenda huko kwa tunatakiwa kufanya nini, hatua ya kwanza ni kujiuliza, jee hapa tulipo ni kweli tuko kwenye udikiteta?. Rais Magufuli ni kiongozi dikiteta?.

Hatua ya kwanza, ni kujiuliza, huu udikiteta ni nini, na viongozi madikiteta ni nani?.

Hivi karibuni, Wanasiasa wa Upinzani wamekuwa wakimuelezea Rais Magufuli kuwa ni dikteta na anakiuka misingi ya demokrasia. Msingi wa malalamiko hayo ulitokana na kauli ya Rais kuwa Sasa ni muda wa maendeleo, kufanya siasa hadi 2020. Hii ilienda mbali hadi kutangazwa kwa maandamano yaliyopewa jina la UKUTA (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania). Maandamano haya yalikuwa na lengo la kudai haki ya kufanya siasa kwa vyama vya upinzani na pia kudai uhuru wa kujieleza kwa wananchi.

Taasisi ya TWAWEZA kupitia Sauti za Wananchi, ambao hukusanya maoni ya wananchi kupitia simu za mkononi kuhusu kinachoendelea nchini katika nyanja zote za maisha, imetoa Ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu demokrasia, udikteta na maandamano nchini.

Utafiti wa Taasisi ya Twaweza, haukutoa maana ya udikiteta bali umetumia mfumo wa kutumia hojaji, kuuliza kuhusu demokrasia na udikiteta, matokeo yake ni haya.

clip_image002.jpg

=> Takwimu: Mwananchi 1 kati ya 3 alitoa maana ya neno “udikteta” akilitafsiri kama kutawala kimambavu.

=> Takwimu: 15% wanalitafsiri neno udikteta kama mtu mmoja ndiye mwenye maamuzi nchini, 6% wamelitafsiri kama ubaguzi.
clip_image003.jpg

Baada ya kutoka kwa ripoti hii ya Twaweza, mimi binafsi kwanza niliwapongeza Twaweza, kwa kitendo chao cha kishujaa kuhoji kuhusu dhana ya udikiteta, maana sii wengi wenye ujasiri kuwa kuuzungumzia udikiteta wa Tanzania, haswa kwa kuzingatia, anayezungumziwa ni rais wa Jamhuri, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu, hivyo niliwapongeza Twaweza kwa ushujaa huu, ila mwisho wa utafiti huu, Twaweza nao, walituacha solemba, kwa kutokusema huu udikiteta ni nini haswa na jee Tanzania tuna udikiteta ama tunatawa;iwa na dikiteta au la?. Twaweza waliyachukua matokeo ya utafiti wao na kwa kuchapisha tuu maoni ya wananchi kuhusu udikiteta bila kuusema au kuizungumzia status ya Tanzania.

Kwa vile dhana ya udikiteta ni dhana pana na pia ni dhana mtambuka, nitaizungumzia kwa udani katika makala ijayo, ila kwa vile kuna watu wanapanga tena kuandamana siku tarehe 26 April, na serikali imeishayapiga marufuku maandamano hayo, wito wangu sio kwa jeshi la polisi kuyaachia maandamano hayo, polisi wao waendelee kutimiza wajibu wao kuhakikisha nchi inakuwa na salama, amani na utulivu, bali natoa tuu angalizo kuwa sio kila maandamano ni maandamano ya kuleta fujo na vurugu, bali mara nyingi, tumeshuhudia fujo na vurugu zikisababishwa na polisi katika kuzuia maandamano, na mfano hai ni tukio la hivi majuzi la kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwiline, kilichosababishwa na risasi, iliyofyatuliwa na polisi kuzuia maandamano!. Nimeyashuhudia maandano yale kwenye video, watu wanaandamana wameshikana mikono bila silaha yoyote, halafu polisi wanawatawanya lwa silaha za moto!.

Kwa vile huu udikiteta wa rais Magufuli unazungumzwa sana, mimi nilifanya juhudi kuwatafuta maprofesa wa sheria kuwauliza, nikaanzia kwa Prof. Issa Shivji na Prof. Chriss Peter Maina, hawakunijibu kitu, bali walionyesha tuu ishara za mikono kuwa wao hawako tayari, kulizungumzia hili, bado nitafanya juhudi kumtamfuta Waziri wa Sheria, Prof. Palamafamba Kabudi, Mwanasheria Mkuu na Jaji Mkuu kulizungumzia hili. Hivyo naomba usichangie kwanza uzi huu, nisubiri nakuja kumalizia kwa kuelezea ili kujua kwa uhakika, jee ni kweli Tanzania kuna udikiteta, tunatawaliwa kidikitea na jee rais Magufuli ni dikiteta?.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Update1
Hii ni update from very objective contribution kuwa rais Magufuli sio dikteta.

Thanks Wilderness Voice for objectivity yako kuwa rais Magufuli sio Dikiteta.
Paskali
Update 2.
Huu ni mchango very objective kuwa rais Magufuli ni dikiteta.

Asante sana field marshall1 kwa objectivity yako kuwa rais Magufuli ni dikiteta.

Paskali

Udikiteta ni Dhana Tuu or ni Real?. "Lets Call A Spade A Spade!"Dikiteta ni Mtu Mwenye Tabia Hizi!".

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka Ukweli!. Dawa ya Uongo ni Ukweli.

Mkuu Pascal Mayalla za asubuhi.
Vipi kuna taarifa yoyote ya uzima wa mpendwa wetu aka mzee wa bakora ndefu
Tumemmisss san san..
 
Kama JPM ni dikteta je anatawala kwa kutofuata misingi ya sheria? Ametangaza hali ya hatari hapa nchini? Amezuia chaguzi zisifanyike? Rais kuogopwa ni lazima kama mkuu wa nchi asipoogopwa watu watafanya kama ilivyokuwa enzi za Iptl ,Dowans na Richmond. Mzee chief Kunambi nilimsikia akihojiwa TBC alisema Mwalimu JKN alikuwa anaogopwa. Hii inaleta nidhamu katika nchi kwa viongozi wa ngazi za chini na wateule wa Rais. Tatizo ambalo nimekuja kugundua ni kuwa watanzania wengi ni watu ambao hawana msimamo. Enzi za jakaya walisema anakumbatia mafisadi bora nchi ichukuliwe na jeshi. Leo amepatikana ambae akumbatii mafisadi amekuwa dikteta? Mbona yule jamaa pale igunga aliposimama njiani alimkosoa Rais kwa lugha ya staha kwamba mh achia pesa, na rais mbona alimjibu vizuri! Kwa ufupi hamna dictatorship hapa Tz
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali kuhusu Huu udikiteta unaozungumzwa sana kwenye mitandao kuwa Tanzania tunatawaliwa kidikiteta, na watu kudai kuwa rais Magufuli ni dikiteta hadi kutaka kuandamana tena hiyo tarehe 26/04/2018. Hili ni bandiko la swali kuhusu huu udikiteta, kwanza kama ni kweli upo, au ni dhana tuu ya watu waliofilisika kisiasa, baada ya kushindwa kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi huru na wa haki, hivyo hoja ya udikiteta ni dhana tuu ya kizushi, kwa hoja kuwa Tanzania hakuna udikiteta wowote, bali ukweli ni kuwa Tanzania ilikuwa ni nchi iliyopinda sana kwa miaka mingi kwa rushwa, ufisadi, ubadhirifu na uzembe, anachokifanya rais Magufuli ni kuinyoosha nchi hii iliyopinda ili ikae kwenye mstari, na ni katika kunyoosha huku, watu waliopinda na kuipindisha, lazima wanyooke, na katika kunyooka huku, wanaumia, na ndio hawa wanaopiga hizi kelele za udikite Tanzania?.

1470768190261-jpg.378704

View attachment 378704
Tena Mwalimu Nyerere, hakuishia hapo, miaka mingi nyuma, alizungumza kama Nabii, kuhusu huu udikiteta unaozungumzwa sasa nchini Tanzania, tena wengi wa kizazi cha sasa, maneno ya Mwalimu Nyerere wanafanya kuhadithiwa tuu kama hadithi, lakini mimi nakiri kuwa nilikuwa ni mmoja miongoni mwa watu wachache wenye bahati ya kuwepo mahali Mwalimu alipozungumzia udikiteta na kumsikia Mwalimu akizungumza sio tuu kwenye redio , RTD ya enzi hizo, bali kwa kukaa chini kwenye sakafu ya kiambazani cha nyumbani kwake Msasani maana viti vilijaa waandishi wakubwa zetu wa enzi hizo, sisi tukiwa ni waandishi wachanga, tukiwa TSJ, nakumbuka ilikuwa ni 1993 au 1994,

Pasco

Leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
🤣 🤣🤣🤣Kwa hiyo sasa hutaki tena kukumbuka jinsi ulivyokuwa unajitahidi kuupaka rangi UDIKTETA ili sio tu kuupendezesha bali pia kuweka mzingira ya 'kutosahauliwa'?. Kama ni kweli basi ninakutakia heri ingawaje itabidi kukuangalia kidogo kabla sijakuamini.
Mkuu ostrichegg , sina uhakika, lakini humu jf, sidhani kama kuna member mwingine yoyote aliyeuzungumzia udikiteta kama mimi!.
Karibu pande hizi.
P
 
Uzuri wa Pascal unajua kucheza na movement ya adui hasa unapotaka jambo au kujihami nalo.

Enzi za Jk ulikuwa mmoja kati ya wnaokula keki ya taifa, jiwe alipoingia akakata mrija.

Ukaja na mabandiko mengi ya udikteta huku ukisifia ufalme uliopita,
Matukio ya utekaji yalipozidi ukahis unaweza kuwa kwenye list, ghafla ukabadili gear angani ukaanza kupiga pambio.

Kwa namna ulivyokuwa ukipiga pambio kwa ustadi baadhi yetu mpaka tukaona unafaa kabisa kumrithi polepole kwenye kale kakitengo kenu.

Ghafla jiwe kadondoka umerudi kwenye rangi yako halisi...
 
Leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom