Kamjingijingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2009
- 806
- 129
usitutiye shombo hapa maana ya udi hata wewe hujui unaleta kituko
Ndo hayo hayo ya majini haya!! Udi wa urembo na manukato hauna siku maalumu wala saa! Eti fukiza saa saba ucku alhamisi!!Hiyo ya Ambar ni kama nishawahi kuiona kwa wife anafukiza ndani ila sikuiangalia vzr mimi napenda kula vilivyopikwa sijali vimepikwaje.
Sasa hapo kwenye utaratibu wa mda ndio sielewi uhusiano wa kufukiza na mda maalum.
Isije ikawa ndio ile watu kuamini kwamba udi hufukizwa kuvuta majini
Huyo bila shaka mahaba ya siku hiyo yalimchizisha. Alikutana na jamaa alikolezwa na mambo ya udi ikiwa mahaba niue shingo uniachie kiwiliwili chako roho yangu. Aaaah, we acha bwana, unakuwa chizi kwa shughuli ya udi na hasa umkute mjuzi!Mmmmh!!! Kuna mdada alickia ishu kama hizi za kuchoma udi karaha, sijui udi jinni, akachoma ucku wa manane!!!....... Kilichompata....... mpaka leo huyo Dada ni chizi!!
Hatari sana,Huyo bila shaka mahaba ya siku hiyo yalimchizisha. Alikutana na jamaa alikolezwa na mambo ya udi ikiwa mahaba niue shingo uniachie kiwiliwili chako roho yangu. Aaaah, we acha bwana, unakuwa chizi kwa shughuli ya udi na hasa umkute mjuzi!
Naomba niulize ivi unaongelea Udi au Mafusho as in dawa za kienyeji? sababu hizo ulizotaja ni dawa za kienyeji sijaona list yaHabari msomaji wa uzi huu,
Leo nitazungumzia aina ya mafusho/udi ambayo zinafaa kwa mwanamke kujifukiza. Wanawake wengi hawajui matumizi sahihi ya udi/mafusho.
Ili mambo yako yawe sawa hasa kimapenzi inatakiwa utumie mafusho yafuatayo;
-Ambar
-Rawandi
-Kafur
-Zafarani
-Mustaka
Unatakiwa kuchoma siku za Alhamisi, Ijumaa au Jumatatu. Au uchome siku yeyote katika saa za atlarid, zuhura au qamar.
Hakika ukizingatia hayo yote mambo yako yataenda vyema.
Ni kweli ipo tofauti kati ya mafusho (dawa za kienyeji za kujifukiza) na udi (vitoa harufu). Au yategemea msemaji anatokea wapi. Kwa Tanzania bara huwa inatofautishwa mafusho na udi.Naomba niulize ivi unaongelea Udi au Mafusho as in dawa za kienyeji? sababu hizo ulizotaja ni dawa za kienyeji sijaona list ya
udi hapo? sijawahi kuona udi wa zaafaran ukisema zafarani yenyewe i can understand,ebu kwahisani yako nifamishe ...
shosti usijaribu hizo ni aina za dawa unaweza ukachanganya kama mtu mgonjwa wa mashetani au niseme sana inatumiwa kwamamtibabu ya kienyeji,Zaafarani no normal unaweza ukatia kwenye biriani au hata chai ya maziwa haina madhara yoyoteInasaidia nini? Na wanaume wanaruhusiwa kujifunikiza?
lakini still hivyo alivyo vitaja nivya dawa za majini na mambo mengine udi haupo kabisa hapo,Napenda udi kupita maelezoNi kweli ipo tofauti kati ya mafusho (dawa za kienyeji za kujifukiza) na udi (vitoa harufu). Au yategemea msemaji anatokea wapi. Kwa Tanzania bara huwa inatofautishwa mafusho na udi.
Hahaha...nafuu maana tulikuwa tunakamatwa masikio.lakini still hivyo alivyo vitaja nivya dawa za majini na mambo mengine udi haupo kabisa hapo,Napenda udi kupita maelezo
niulize mafuta gani yakufushia na udi,yani kwenye hiyo sehemu anga zangu..
Mkuu udi kwa kizungu unaitwaje? Unaweza kuagiza online? Msaada tafadhali mkuuMkuu ngoja nielezee vizuri huku chini.
Tumia lakini upate Udi kweli sio mafusho kuna udi mwengine baada ya kunukia udi unanuka moshi wa vibanzi vya Mkarambati...Nnaupenda harufu yake, ila huwa naogopa nisijepata majini bureeee
Ntaujuaje udi kweli? Na majini vipi hauleti?Tumia lakini upate Udi kweli sio mafusho kuna udi mwengine baada ya kunukia udi unanuka moshi wa vibanzi vya Mkarambati...
chukua Udi wa mawardi pure, kama kuna mtu unamjua,else kama unaishi nilipo naweza kukupatia kiduchu free of chargeNtaujuaje udi kweli? Na majini vipi hauleti?
lakini still hivyo alivyo vitaja nivya dawa za majini na mambo mengine udi haupo kabisa hapo,Napenda udi kupita maelezo
niulize mafuta gani yakufushia na udi,yani kwenye hiyo sehemu anga zangu..
I wish ungejua ni udi gani unazungumziwa,kuna Udi tofauti ...sio ule wa vijiti kama chelewa unaouzwa kwa Mangi../mpemba.Mambo ya miudi yenu sitaki kuwasikia. Majini tu hayo. Majina ya hizo udi tu ya ajabu ajabu, Mungu niepushe na janga la udi.
Nipo mwanza nnatafuta udi kafur nnaupatajeHabari msomaji wa uzi huu,
Leo nitazungumzia aina ya mafusho/udi ambayo zinafaa kwa mwanamke kujifukiza. Wanawake wengi hawajui matumizi sahihi ya udi/mafusho.
Ili mambo yako yawe sawa hasa kimapenzi inatakiwa utumie mafusho yafuatayo;
-Ambar
-Rawandi
-Kafur
-Zafarani
-Mustaka
Unatakiwa kuchoma siku za Alhamisi, Ijumaa au Jumatatu. Au uchome siku yeyote katika saa za atlarid, zuhura au qamar.
Hakika ukizingatia hayo yote mambo yako yataenda vyema.