Wadau naomba kujuzwa kama kunataasisi inayodhamini masomo ya ngazi ya udhamiri kwa wanafunzi wanao taka kusoma kozi za linguistics hapa nchini hata kama ni kwa mwaka mmoja Nina GPA ya 3.9 from UDSM.
Na napenda sana kusoma sign language ktk masters yangu.
wadau naomba kujuzwa kama kunataasisi inayodhamini masomo ya ngazi ya udhamiri kwa wanafunzi wanao taka kusoma kozi za linguistics hapa nchini hata kama ni kwa mwaka mmoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.