Usiku wa Jana TFF na VODACOM wameingia mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa Ligi kuu ya Mpira Tanzania, wenye thamani ya Bilioni 9 (bilioni 3 kila mwaka) hii ikijumuisha uendeshaji wa Ligi, zawadi kwa Washindi na Mengineyo.
Kwa mujibu wa utaratibu MDHAMINI uwa nembo yake inakaa either kifuani au mkononi na nafkiri ili litakuwa hivyoo kwa mujibu wa Utaratibu....
Nakumbuka TFF chini ya Tenga walifika mpaka Uamuzi wa kutaka kuitoa YANGA kwenye ligi kwa kile kilichoitwa kutoheshim mkataba kwan YANGA waligomea kuweka nembo ya VODACOM ambyo ina rangi Nyekundu.
Hakuna Shaka VODACOM ndo Wadhamini wapya wa LIGI KUU TANZANIA. Na taarifa zilizopo Mdhamini atatoa kalibia m50+ kila timu
Je Yanga watakubali kuweka Rangi Nyekundu kifuani au Mkononi au watakula matapishi...???Kama walivyofnya wakati ule wakigomea Udhamin na hela za AZAMTV..
Karibuni kwa maoniii...