sijaja kiKADAUmekuja spidi sana, ungejibu vizuri bila kuja kikada ungeeleweka vizuri lakini umekuja kikada sana, endelea kujitoa akili dogo, ENDELEA KUNENEPESHA SHETANI WAKATI KITI ANAKONDA
Lowasa ni mpango wa Allah
SAFI SANAFacts si hizo kakupa? Lowasa ni mmliki wa Alphatel (Super dealer wa Vodacom) wasiolipa kodi ya nchi na mwenzake Rostam anamiliki asilimia 35 ya Vodacom. Pia Lowasa anamili TICTS pamoja na fisadi mwenzie Karamagi. Lowasa ni share holder wa Richmond then Dowans and now Symbion. Wanaingiza mamilioni ya shilingi za walipa kodi wanyonge wa Tanzania mifukoni mwao kila siku. Jamaa anamiliki majumba Masaki na hotel huko Afrika ya kusini bila kusahau kampuni ya Barare etc.
61 pct ya wapiga kura watakuwa vijana.... Safari hii mnalo ila kaa ukijua oktoba Lowassa anaingia Ikulu haijalishi kwa mlango gani....
Lowasa ni mpango wa Allah
Kikubwa ni kupata ushindi.....
Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.
Kweli White house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.
Mkuu acha hizo habari mkuu...Allah ana mipango na wezi na mathalim....
Laana tul llahii !.....ulaaniwe na kila mwenye kulaani ! :flame:
lowasandiye aliyetuleteana kushinikiza kampuni feki ya Richmond ambayo haikuwa nauwezo kifedha,kitechnojia wala uzoefu wala mtaji wala haikua na ofisi.Alilazimisha kuwapazabuni. Kwa mujibu wake na nyie wahuni wenzake hayo yalikuwamaamuzimagumu....ALILAZIMISHA TZ KUINGIA KWENYE MKATABA WAKIHUNI KWA MASLAHIYAKE yeye lowasa na mapacha wake wawili.
KIFUPI lowasa ANA UJASIRI WA KIFISADI. Wewe huwezi jua kwa nnaliufyatakuzungumzia hili sakata wakati aliahidi.YEYE MWENYEWE HAWEZI KULIKANANA HAWEZIKUJISAFISHA SASA WW ULIYEPEWA MGAO WA UFISADI WAKE UNATAKA KUMSAFISHA
escrow na IPTlL alinishinikiza nani ? tusadie tumjye?
Mapambano Yetu
UNGALITUONYESHA VIDEO YA HAO WANAOTEMBEA NYUMBA HADI NYUMBA TUNGELIKUAMINI!/Acha chuki za kijinga na unafiki!
4U movement ni tofauti muache kudanganya watu.Hii ni wakati ule anashawishiwa kugombea!
Wacha kumtusi muumba kwa njaa zako wewe:angry::angry::angry:Lowasa ni mpango wa Allah