Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
Lowasa ni mpango wa Allah
Lowasa ni mpango wa Allah
Lowasa ni mpango wa Allah
Kama hii ndo aina ya mafuriko anayoyasema, Tumekwisha.
Mkuu acha hizo habari mkuu...Allah ana mipango na wezi na mathalim....
Yeye alikuwa wa kwanza kutangaza nia.......hadi leo hii bado anasaka tu wadhamini....6 mwenzie kamaliza zamaaaaani alivyopata 450 tu basi..........
Kumbe huyu jamaa ni mwizi na SISIEM hadi leo inamchekea,Mwisho wake unafahamika hatapata mda wa kudanganya watu tena pesa alizoiba zinatosha.