pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,645
- 14,809
Habari za wakati huu wadau,
Mapambanao yanaendelea japo nyama ngumu kila siku afadhali ya jana.
Ikiwa imepita siku moja toka club ya simba kuweka hadharani dau waliloweka M–bet kwenye mkataba,
Kuna vitu vya kufikirisha na kuchekesha sana katika nchi yetu ila kama kuna watu wanatunza historia basi wawaweke mashabiki wa yanga wa kipindi hichi katika kitabu hicho maana wanayoyafanya sio kawaida.
Baada ya simba kutangaza udhamini wa main sponsor katika msimu mpya na kampuni ya M–bet ulio gharimu kiasi cha 26 billion Tsh, mashabiki wa yanga wakiongozwa na yule zeru zeru anayehangaika kumuomba kila mtu msamaha ila kuna vitu vya kushangaza sana katika kwa mashabiki hao kweli yanga ina thamani kushinda simba licha ya yote haya aliyoyafanya simba kwa misimu minne iliyopita:
Kuchukua league kuu misimu minne mfululizo katika league kuu nchini Tanzania yanga thamani hiyo anaiotoa wapi?
Kucheza CAF champions league na kufika hatua za mbali kuliko wapinzani wao thamani hyo yanga anaitoa wapi kwa siku za karibuni?
Team ambayo haianzii chekechea kwenye Caf champions league ikiwa na point nyingi kuliko wapinzani wao thamani hio yanga anaitoa wapi?
Club inayoshika nafasi ya 12 barani Africa kwenye viwango vya Caf huku wapinzani wakiwa hawapo hata 100 bora na wanazidiwa na biashara United na namungo kimataifa kwa kila kitu ukubwa huo wanautoa wapi?
Yanga Kwenye mitandao ya kijamii imezidiwa mara mbili kwa wafuasi na Simba huku simba ikiwa ni club inayofuatiliwa zaidi Africa mashariki ukubwa huo wanautoa wapi hao utopolo?
Watu wapo Misri kujiandaa na pre season yeye yupo ferry na juzi kacheza na wavuvi wa ferry hata kikosi hajaweka kwa aibu maana ni kama umitashumta sasa kama kweli mna hela, basi msingeshindwa kwenda pre season uturuki na kubakia ferry au ukubwa wa yanga ni kumfunga simba kwenye ngao ya jamii na kwenye league ndo akili zao zilipoishia hapo kweli tuna safari ndefu sana.
Mashabiki na wakereketwa wa yanga ukubwa wenu uko wapi mpaka muone simba hawezi kupewa hela zile na M–BET ila nyinyi kupewa hela zile na sportpesa mnastahili njooni mjibu hoja kwa hoja twende sawa karibuni.