Udhalilishwaji wa Watanzania

Hawa vibaraka ndo maana hawana maisha mazuri, sababu wanatumiwa kama Toilet paper, the power of KARMA may fall to them and their generations
 
Alafu hawa mapongo mbona poda ponda tu. Ingekuwa mimi ningetwanga hata mmoja ngumi ya jiwe
 
Karma huwa ina act kwenye kitu kinachoitwa men's rea na sio actus reus. Yaani mwenye dhamira ovu, nia mbaya na sio kitendo cha kifo cha binti ni bahati mbaya, ila dhamira ya mfyatuaji alidhamiria kumfyatua nani?!.
P
Mazingira, uzembe, umakini, kiburi, kutojali, hasira, amri.
 
Hivi sheria inasemaje ukitaka kumkamata mtu sharti apigwe kwanza au?
Je kuna taadhali yoyote waliopewa waandamanaji?
Kuna vitu vinahitaji mabadiliko katika sheria zinazoliendesha Jeshi la Polisi (PGO).
Hao Askari wanaonekana kufanya vitendo hivyo si kosa lao, kosa liko kwenye PGO,kwani na wao kuna wakati wanaumia sana moyoni juu ya wanachowafanyia Watanzania wenzao kupitia amri wanazopewa ambazo zipo kwa mujibu wa PGO.
 
YATAISHA SIKU MOJA HATA KAMA SI KWA NGUVU ZA MUNGU ILA YATAKWISHA SOTE TULIZALIWA,LABDA WENZETU WAMEJAMBWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…