Huo uchunguz udom umeufanyia collage ipi
source.uchunguzi wangu nilioufanya
Acha upuuzi wewe we ndo umesoma vyuo peke yako? Hayo yapo , hata vyuo vya nje mambo hayo yapo. Nilishawahi kusoma na kufundisha chuo part time. Mambo ni disaster
anachokisema huyo mtoa mada ni kweli tupu,kwa sisi tuliopitia vyuoni tunajua hayo mambo yalivyo na jinsi wanawake wanavyodhalilishwa bila kujali kama ni mke wa mtu au la,kama dr au prof akikutaka basi atafanya kila hila ikiwemo hata kukufelisha,na wengi wamejikuta wanavuliwa nguo za ndani kwa sababu hizi ingawa wapo ambao wanajilengesha ili wapewe maksi za juu but haiondoi ukweli kuwa wengi wao wanawake wanapata shida sana kwenye hivi vyuo vyetu.
Nilishawahi...kufundisha chuo part time. Mambo ni disaster
Mkuu, kwahiyo na wewe ulikuwa unawafanyia hivyo wanafunzi wako kama mleta mada anavyodai au...?
mbna unaongea kama sio mkufunzi ulifundsha chuo kipi na mm kisa lang lipi kuulza alifanya uchunguzu collage gan au??
Shallow mind