Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Udhaifu wako ni upi katika mapenzi ambao utakufanya mwanamke/mwanaume ku win your heart.

Be honest!!! Please
 
Mimi ki ukweli big bosom(mtindi wa aja). Nakuwa hoi bin taabani
 
Hapana chezeya singida dodoma singida dodoma vingine vigezo na masharti kufuatwa
 
Duh! Mi sijafall in love kwa muda mrefu asee mpaka nishasahau hata udhaifu wangu ni upi hii kiumbe ya kike arifu!!
 
hahaa small and sharp like thorn bossom ndo my WEAKEST point duh!
 
Udhaifu wako ni upi katika mapenzi ambao utakufanya mwanamke/mwanaume ku win your heart.

Be honest!!! Please

Nadata na ukauzu wa Mwanaume, Uwe na pozi hadi kuongea haswa mbele za watu...Inapendeza sannaaaahHhh...Me husband wngu akininuniaga ndo napata Hamu ya kugegedwa yaan namuona mpya...
 
Dah mi mwenzenu huwa napagawa na wadent ambao nimaskeleton yaani hapo we acha tu
 
Daah kifua kilcho jaa vzr thn avae sinqlend naumwaaga kiukwel....
 
Mimi kiu ukweli tabasamu la innocent girl.
 
Mm gwedegwede + kiuno shape(nyigu)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwembamba au wastan ila asiwe kajazia wowowo kupitiliza

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Big bosom halafu awe tipwatipwa mimi jamani hoi bin tabaani.
 
Tall, black; unanishika mkono tunaondoka huna haja ya kujieleza.
 
Mie hiyo mipingili pingili ya tumboni afu kifua kilichojaa na kiwe na vinyweleo... Awe mrefu na maji ya kunde... yeleuwiiiiii .... Nafwa mie!!!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…