Stephano Mango
Member
- Mar 23, 2012
- 64
- 13
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda Anaitwa Dhaifu,Mpole, hana maamuzi, Muongo na Kigeugeu, Je ni kweli? Wapo watu ambao wanaenda mbele zaidi na kusema kuwa hayo yote yanamfanya akose sifa ya kuwa kiongozi wa ngazi kubwa nchini
Kutokana na hayo Makundi mbalimbali yanamtaja Edward Lowassa kuwa ni Mchapakazi, ana maamuzi magumu na anaweza kusimamia utekelezaji wa jambo husika? je nikweli? wengi wanasema anafaa kushika nafasi kubwa nchini wakati ukifika
NAOMBA TUJADILI