I wish tungekuwa tunajadiliana hivi kila mara.
Nimepata mawili matatu kutoka kwako lakini nami nakupa assignment,nina miaka 50+ na vita ya Uganda nilikuwa Musoma na kuziona ndege mbili za kwetu zikitunguliwa na mizinga yetu na ilikuwa graduation ya Musoma alliance School.
Uhujumu uchumi ndo tuliohusika kulinda mawaziri na ofisi za serikali na vile vile kupakua behewa la vinywaji vikali hapo Railway ambapo wengine walikunywa mpaka kulazwa hospitali,je mimi ni wa lini?Ilikuwa ndo mara yangu ya kwanza kuona TV na ilkuwa imetupwa karibu Oysterbay Police.
Nimefurahishwa sana na uungwana wako katika kuchangia tuendelee hivi.