sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,564
- 11,478
Tunatambua nguvu ya upinzani hasa chadema enzi za jk. Walikuwa na uwezo wa kwenda popote hata ikulu, lakini walikuwa na uwezo wa kusema chochote pasipokuhojiwa.
Hii ilichangiwa na udhaifu mkubwa wa kitaasisi ya urais aliyoonyesha jk. Kiasi ambacho hata wanaccm walihisi nafasi ya urais inamfaa yoyote.
Kitendo cha rais jk kunyamazia ama kuchukulia poa kila jambo ilipelekea hata kuzomewa kule chuo kikuu, lakini mbaya zaidi msafara wake ulipigwa mawe kule tegeta. Halima Mdee alikuja bungeni na kuzungumzia kwa kejeli kuwa alishtuliwa tu.
Haya mambo yaliwapa upinzani nafasi kubwa ya kuona wana nguvu sana nchini. Kila walipoguswa walikuja na matamko makali ikiwemo nchi haitatawalika. Walihisi wana nguvu sana kuliko watawala na kwamba wanaweza chukua nchi.
Upinzani walizoea kutishia serikali, lakini waliwatukana na kuwachafua wanasiasa wa ccm walionekana wana nguvu. Hakuna aliyewasema. Walivunja sheria walivyotaka ikiwemo maandamano na mikutano.
Leo wanahaha baada ya kiongozi strong kuwatia roba. Mwaka wa tano sasa si mbowe wala wenzie hawaijui ikulu. Kwa sasa wanaiona kwa nje wakipita au kwenye video kama bibi yangu kule muheza.
Mikutano wanaifanya ila kwa kuchunga sana kauli. Maana siku hizi ukiongea pumba tu ukishuka jela inakuhusu kama ilivyokuwa kwa sugu na lema.
Kwa sasa hata hoja ya ufisadi iliyowajenga kisiasa hawana tena. Walitegemea madhaifu ya ccm, leo ccm inanyoosha wamebaki kupinga maendeleo. Wameona wananchi wamewageuka sasa wameacha kupinga maendeleo.
Kwa sasa tegemeo lao kuu ni viongozi wa dini wachache. Maana wengi wameshawakimbia. Wameona ni upuuzi kupinga maendeleo ya nchi. Wanasubiri wachungaji wa kaskazini walionyooshwa na utawala waongee nao wadakie.
Upinzani uluzoea vya kunyonga enzi za jk, leo wanahaha tu.