ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Jana ilikuwa patashika kwa tunaotumia usafiri wa Mwendokasi, kuanzia kituo cha Gerezani tulijazana abiria wengi mno huku ikionekana wazi kabisa gari nyingi hazipo barabarani.
Hapo gerezani gari zimejaa kituo kizima wanasema ni mbovu, vituo vyote watu wamejazana wameshalipia na kuhaha kupata usafiri.
Nikahamia kituo cha Fire pale tulisubiri gari ya Ubungo kwa zaidi ya dakika 30 halikutokea gari, watu wa kwenda Kimara ilibidi wagombanie bus za Kivukoni ili kugeuza nazo, hali ilikuwa mbaya mno kwa jana labda na leo.
Cha kujiuliza kwanini kampuni hawatangazi hali hii mbaya na kwamba wamezidiwa? Je kwa trend hii na kasi ya hizi gari kuharibika huku na kasi ndogo ya services tutafika miaka kumi?
Hali ni mbaya jamani usafiri huu umekuwa mateso makubwa serikali imulike mradi huu.
Tujiulize itakuaje mradi huu ukitanuka hadi njia ya Kilwa ambako ndio kunaaminika kuwa na wakazi wengi zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app