incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,290
Deleted by user...[emoji57]
Lengo kubwa tunataka watanzania wafute dhaana ya kusema kuwa mikopo imetolewa kwa mayatima ma wasiojiweza bali mikopo imetolewa kama mchezo wa tuzodroo acheni siasa katika maisha ya watuUnadhani uko peke yako?
Kama alivyosikika mh ndalichako katika hotuba yake ni kiasi gani cha wanafunzi waliopangwa kupata mikopo 2016/17 ila idadi yake imetofautiana na uhalisia wa majina si hapo tu kumekuwa na udanganyifu ambao hauna ukweli hata chembe kuwa mikopo imetolewa kwa watoto wenye mazingira magumu na mayatima hizo ni porojo tu nikiwa kama mhanga wa tukio la kukosa mkopo mimi ni yatima nimeambatanisha vyeti vya vfo vya wazazi wangu mbali na hapo CV yangu nimesoma St kayumba kuanzia olevel had advance ila bado pote nimenyimwa mkopo wakidai wamepewa watoto wa masikin swal langu kwa wizara hizi ni kwamba wanataka kudanganya umma kuwa wote waliokosa mikopo wote wamesoma FEZA???
Nakumbuka saut ya marehem wazaz wangu waliponiambia "mwananangu nimekufa bila chochote ila urithi wangu kwako ni elimu tu ushike elimu usiiache ikapotea" leo hii bila huruma nyie na matumbo yenu yaliyotuna Mmeninyma urithi nilioachiwa na mafukara marehem wazazi wangu na bila haya na aibu mnadhiliki kusema mmetoa mikopo kwa watu wenye uhitaji wa mikopo?
Kwa hali hii watanzania wenzangu msije kuniuwa nikigeuka panya road bali naomben mkawahoji walionifanya mimi kuwa hivyo![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] panya roadYaani kunyimwa mkopo umeona sehemu pekee ya kutokea ni kuwa panya road, hebu jifikirie upya ndugu
Kama alivyosikika mh ndalichako katika hotuba yake ni kiasi gani cha wanafunzi waliopangwa kupata mikopo 2016/17 ila idadi yake imetofautiana na uhalisia wa majina si hapo tu kumekuwa na udanganyifu ambao hauna ukweli hata chembe kuwa mikopo imetolewa kwa watoto wenye mazingira magumu na mayatima hizo ni porojo tu nikiwa kama mhanga wa tukio la kukosa mkopo mimi ni yatima nimeambatanisha vyeti vya vfo vya wazazi wangu mbali na hapo CV yangu nimesoma St kayumba kuanzia olevel had advance ila bado pote nimenyimwa mkopo wakidai wamepewa watoto wa masikin swal langu kwa wizara hizi ni kwamba wanataka kudanganya umma kuwa wote waliokosa mikopo wote wamesoma FEZA???
Nakumbuka saut ya marehem wazaz wangu waliponiambia "mwananangu nimekufa bila chochote ila urithi wangu kwako ni elimu tu ushike elimu usiiache ikapotea" leo hii bila huruma nyie na matumbo yenu yaliyotuna Mmeninyma urithi nilioachiwa na mafukara marehem wazazi wangu na bila haya na aibu mnadhiliki kusema mmetoa mikopo kwa watu wenye uhitaji wa mikopo?
Kwa hali hii watanzania wenzangu msije kuniuwa nikigeuka panya road bali naomben mkawahoji walionifanya mimi kuwa hivyo![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mkuu inauma sana kwani kwa wenzangu walioanza kutafta maisha wakijua hakuna wanachokitegemea kwa sasa wapo mbali sana kimaendeleo leo hii nirudi kijijin nan atakae nielewa kuwa nimerudi kisa nimenyimwa mkop0?? Mda mwingne inabidi tukubaliane na walioiacha shule wakiamini kusoma ni kupotezeana mda na kalengo nami leo naamin hivyo elim ya kibongo ni kuhalibiana malengoYaani kunyimwa mkopo umeona sehemu pekee ya kutokea ni kuwa panya road, hebu jifikirie upya ndugu