Udanganyifu mtihani darasa la saba 2012

KIGENE

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,552
813
561905_441629279216226_190132753_n[1].jpg
Huyu binti si kwamba amechora kitu wanaita tatoo bali ni majibu ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika mwezi uliopita mwaka huu.
Hayo yalijiri huko mkoani Kagera watu tulitegemea kwa vile maswali yenyewe ni ya multiple choice labda wanafunzi wamerahisishiwa kwa kiasi fulani kumbe wale kina bongolala wanaona lazima watafute mbinu mbadala, kwa mtaji huu bado tuna safari ndefu kuzuia udanganyifu wa mitihani katika karne hii.
 
Kazi kweli kweli,wazazi muwajibike kuwasaidia watoto wenu mkshirikiana na waalimu wa watoto wenu kuondoa ujinga wa watoto wenu ili waache kutegemea kuibia.
 
Back
Top Bottom