...cc 4500 na kila siku liko barabarani!!mweeeeee wenzetu mna mahela!!!nawashukuru sana kwa kujitolea maana tunahangaika sana kuuza magari yetu mimi nauza nissan patrol
safari bei ni 14ml udalali ni 500000 kama mpo tayari tufanye biashara
simu 0712 454307
green colour
4wd
42D engine
cc 4500
manual
It is in good condition
...cc 4500 na kila siku liko barabarani!!mweeeeee wenzetu mna mahela!!!
.....du mkuu!Watu wanamiliki vituo vya mafuta bana,usishangae CC4500.