Udalali Wa Magari

Ziggler

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
378
127
Je una-gari lolote unalotaka kuuza au unataka kununua basi. usihangaike wasiliana nasi tukufanyie udalali wa uhakika
Our Contacts Are : 0689341445
 
Nahitaji Toyota Cami, chini ya km 100,000 .... ukipata ni-PM tuongee biashara ....
 
nawashukuru sana kwa kujitolea maana tunahangaika sana kuuza magari yetu mimi nauza nissan patrol
safari bei ni 14ml udalali ni 500000 kama mpo tayari tufanye biashara
simu 0712 454307


green colour
4wd
42D engine
cc 4500
manual
It is in good condition
 

Attachments

  • Snapshot_20130329_8.JPG
    Snapshot_20130329_8.JPG
    18.7 KB · Views: 182
nawashukuru sana kwa kujitolea maana tunahangaika sana kuuza magari yetu mimi nauza nissan patrol
safari bei ni 14ml udalali ni 500000 kama mpo tayari tufanye biashara
simu 0712 454307


green colour
4wd
42D engine
cc 4500
manual
It is in good condition
...cc 4500 na kila siku liko barabarani!!mweeeeee wenzetu mna mahela!!!
 
Nahitaji Toyota Cami, chini ya km 100,000 .... ukipata ni-PM tuongee biashara ....

Toyota Cami is available mileage yake ni 66,000km haijawahi kutumika hapa bongo bei ni 14Million only
 
Jamani serious dealers only kuna
jamaa humu wananiambia
niwatafutie magari nikishayapata
magari wanayotaka nikiwasiliana
nao hawanijibu message zangu
wala hawapokei simu wakipigiwa
simu
JAMAN KAMA UNAJIJUA HAUPO
SERIOUS AU HUJAJIPANGA KIFEDHA
TAFADHALI MSINISUMBUE
KUWATAFUTIA MAGARI
 
nitaftie mteja wa ford explorer 1998 km 150000 4.0l m12 na ukisha mpata nitaftie raum new model
 
Car Name:NISSAN PRIMERA MANUFACTURED:1999
Engine: 1750cc, PETROL FROM BRITAIN
bei ni 4.6 Million(Maelewano Yapo)
 
mtu yoye anayetaka gari la bei nzuri kutoka Japan anipigie nitalinunua na kulituma namba yangu +18048906644
 
Jaman kama kuna mtu anayeuza Toyota Premio kwa bei isiyozidi million 6 awasiliane nami at 0689341445 au 0718164448
 
Make: Mitsubishi
Model: Pajero GDI
Four Wheel: Yes
Transmission:Automatic
Colour: Pearly White
Year: 2000
Engine Capacity: 2000
Fuel: Petrol
Milage: 82054 km
Bei: Milioni 9 (maelewano yapo)
Mawasiliano: 0713713198
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom