UDAKU :2013 Reloaded!!

Ile moja ulipiga kiupande upande huku umegeuza kichwa kumtazama mpicha piga na mikono ikichezea nywele. Halafu ulikuwa umevaa ".............." si umeikumbuka?

Hapo kwenye Bold naomba kunukuu ili kuweka kumbukumbu sawa:

Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........................Duh!!!!!! bado unayo, si kama hii


Jamani Achana na Bishanga, Anakutisha ili uogope Dear.
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........................Duh!!!!!! bado unayo, si kama hii


Jamani Achana na Bishanga, Anakutisha ili uogope Dear.

Umemsikia yule mama aliyefanziwa india mpaka akaRIP? Shauri lako,unamwamini TANMO?
 
Last edited by a moderator:
Bado, Na uje kwenye White Party.

Ole wako usiniPM,ngoja nifungue na aidii mpya ya kutokea out siku hiyo,nitajitambulisha kwaa jina la 'maumba' unamkumbuka 'maumba'wa mnazi mmoja?
 
Last edited by a moderator:
Ole wako usiniPM,ngoja nifungue na aidii mpya ya kutokea out siku hiyo,nitajitambulisha kwaa jina la 'maumba' unamkumbuka 'maumba'wa mnazi mmoja?

Ama kweli Bishanga wazee hukumbuka! Heheee MAUMBA headlines zote TZ!
 
Last edited by a moderator:
Ole wako usiniPM,ngoja nifungue na aidii mpya ya kutokea out siku hiyo,nitajitambulisha kwaa jina la 'maumba' unamkumbuka 'maumba'wa mnazi mmoja?

Nini kuku PM, ntakupigia na simu kbs Bishanga.
Au ndo yale ya Ukiwa Muongo Usiwe Msahaulifu!!!!!!!!!!!

Ya Maumba Siyakumbuki.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…