Udaktari wa mifugo

Shadow120

Member
Jul 28, 2018
30
12
Wadau Nina sawali; Je mtu aliyesoma BVM(bachelor of veterinary medicine) anaweza Fanya kazi Wildlife :kuwatibu wanyama pori???????
 
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana cha msingi itabidi ujue ni magonjwa yapi yanawapata wanyamapori na namna ya kuwatibu pia jinsi ya kuwaogopa maana unaweza kwenda kutibu chui mawazo yako yakiwa bado kwenye paka.
 
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana cha msingi itabidi ujue ni magonjwa yapi yanawapata wanyamapori na namna ya kuwatibu pia jinsi ya kuwaogopa maana unaweza kwenda kutibu chuo mawazo yako yakiwa bado kwenye paka.
Ahsante kwa jibu lako mkuu
 
Wadau Nina sawali; Je mtu aliyesoma BVM(bachelor of veterinary medicine) anaweza Fanya kazi Wildlife :kuwatibu wanyama pori???????
BVM wanasomea magonjwa wa mifugo na wanyama pori. Hivyo tiba zote za wildlife hufanywa na madakitari wa wanyama (BVM or equivalent). Hutibu wanaofugwa , waporini, wamajini.
 
Back
Top Bottom