Kutuma maombi.Naomba kufahamishwa udahili kwenye vyuo vya afya mwaka huu najua unaaza 15/may Ila tatizo langu sijui ndio tarehe ya kuanza kutuma maombi vyuo ni au? Tafadhali saidia
Usituchoshe..ingia website ya nacte utapata info zote.Naomba kufahamishwa udahili kwenye vyuo vya afya mwaka huu najua unaaza 15/may Ila tatizo langu sijui ndio tarehe ya kuanza kutuma maombi vyuo ni au? Tafadhali saidia
Tarehe hiyo umeitoa wapi?Naomba kufahamishwa udahili kwenye vyuo vya afya mwaka huu najua unaaza 15/may Ila tatizo langu sijui ndio tarehe ya kuanza kutuma maombi vyuo ni au? Tafadhali saidia
Asante sana nashukuruNdio tarehe ya kuanza kutuma maombi
Uwe unatembelea website ya nacte tu.
Pia siku hizi ujanja kufika chuo husika ukitakacho, huwez kosa nafasi ni hela yako tu ya ada
Kwa private lakini mkuu
Ata private