Udadisi wamponza.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mteja siku#1;naomba chakula cha mbwa. Muuzaji;Una mbwa kweli?,sikuuzii mpaka umlete huyo mbwa.> Mteja siku#2;naomba chakula cha paka.Muuzaji;sikuuzii mpaka umlete huyo paka wako nimuone...(siku nyingine yule jamaa akafika dukani akiwa na mfuko wa rambo akampa muuzaji). Muuzaji;Aisee hii kitu gani,mbona laini halafu ya moto?.Mteja;Hayo ni mavi ya binadamu,haya naomba Toilet paper!
 
Big up mkuu!imetulia
 
hahaha dah u made me laugh...9c one,sema tatizo nimesoma hko kchekesho wakati npo mezan nakula..ewww
 
mkuu hiyo imetulia huyo mteja angemwachia hilo rambo mwenye duka
 
hahaha dah u made me laugh...9c one,sema tatizo nimesoma hko kchekesho wakati npo mezan nakula..ewww

Ndo maana unaambiwa usishike mambo mawili kwa wakati mmoja ungetakiwa kula kwanza ukishashiba ndo uendelee na mambo mengine so jifunze ktk hilo
 
Hahahahahahaha....
imekaa vizuri mkuu....
yule dogo wa kukosoa;COMPLICATOR yukwapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…