Udadisi tu...

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wakulu heshima mbele...
Hiviiii.... hii mi-gwaride-ngono havi wanayopewa small houses.... zoote zikusanywe akandamiziwe main hausi (ze waif)... wataweza kuhimili kweli....?:coffee:
 
:doh: Duh!! Ngoja nifikirie kwanza maana small houz mambo ambayo huwa znafanyiwa......!!

Wakulu heshima mbele...
Hiviiii.... hii mi-gwaride-ngono havi wanayopewa small houses.... zoote zikusanywe akandamiziwe main hausi (ze waif)... wataweza kuhimili kweli....?:coffee:
 
Wanaweza sana tamaa zenu unafikiri mpaka unakubali kuolewa mchezo inamaana mchezo unauweza vizuri ndo maana ukakubali kuwa mke
 
thubutu!! mikiki y small haus 3 au 4 upeleke kwnye moja....!! mauaji y alaik hayo.
 
nina ushahidi wa mke kutoroka na kurdi kwao... wiki tu baada ya ndoa... jamaaa akiru ahat akimkuta jikoni.... anaosha vyombo...anachombeza wavutane chumbani...!!!mke yakam shinda...akachapa lapa..!!:frog:
 
mmmhhh lete huku uone
hivi sijui kwa nini watu wanadhani nyumba kubwa hawawezi hayo mambo..
hata wao ni wanawake kama hao wa nyumba ndogo...

sex ni utundu wa mtu tu....
 
Dena Amsi taratibu! Usije nawe ukawa ni small house za watu kadhaa! Kweli utaweza hakunaga mipaka kule.... Ok. Ushauri wa bure anza sasa kuwajibika kikweli kama ni kwa hub au mdau uone kama hajapiga kambi nyumbani jumla!
 
mmmhhh lete huku uone
hivi sijui kwa nini watu wanadhani nyumba kubwa hawawezi hayo mambo..
hata wao ni wanawake kama hao wa nyumba ndogo...

sex ni utundu wa mtu tu....
hoja ni dozi.... kutwa mara sita mara siku saba za wiki....!!!kutakuwa na cha-utundu tena?
 
Msitake kudanganya umma kuwa wanaume wanatoka nje ya ndoa kwa kuwa wake zao hawawezi himili yale wanayofanyiwa nyumba ndogo......mwanamke ni mwanamke na hawatofautiani sehemu zao za siri wala nguvu pale wanapoolewa........Ila najua kuna mambo machafu wanaaume wa kwenye ndoa wanafanya na nyumba ndogo,sasa kama ni hayo wanawake wenye ndoa kama ulimwoa kwa sababu anajipenda,ana hofu ya Mungu na wewe unampenda kweli na pengine ni mama wa watoto wako,huwezi fanya nae.kama ni yale ya kawaida tu wote wanaweza na wasioweza kama anakupenda atajitahidi kiasi cha uwezo wake......Tatizo wanaume tamaaa jamani,yani!:Cry:
 
Wewe una kazi nyingine kweli??ukiamka asubuhi unaenda kazini au ndo wale kutwa mmelala,mnalishwa na wanawake zenu??kazi zenu kushughulika viatandani aka wazee wa kazi??????????? Invest hiyo sex drive kwenye mambo mengine na uwe na kiasi na considerate kwa yule uliyenaye.ahhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Na kweli mother house nao wanaweza kwakuwa nao ni mpango wa nje wa njemba zingine au sio?
 
hoja ni dozi.... kutwa mara sita mara siku saba za wiki....!!!kutakuwa na cha-utundu tena?

unajua inaoneka hapa unachoongelea wewe ni kutiana tu...

nakupa mfano tu..
asubuhi
umeamka asubuhi ukaingia bafuni mkeo akaja kukusugua mgongo (akakupa kidonge cha kwanza cha klorokwin)
mmetoka bafuni weye wavaa nguo ye yuko na kanga moja kaenda jikoni kukuandalia breakfast

mchana
watoto wako shuleni..
weye wa enda nyumbani kupata lunch na na dozi ya pili..

jioni
watoto wanafanya homework
weye uko na mkeo jiko mnaandaa chakula cha jioni..
hapo mnashikana, mabusu tele tele, huku mnaongelea siku ilivyo..

baada ya chakula cha jioni
manakaa na watoto mnasahihisha hizo homework walizo fanya..
wanaangalia TV kwa muda hao kitandani..

sasa hapo ndo muda muafaka..
mnaanzia kwenye coach mnapeleka mpaka kitandani..
huku mnaacha nguo moja baada ya ngingine nyuma..

mmmhh nyumba ndogo unatafuta nini???
 
Wewe una kazi nyingine kweli??ukiamka asubuhi unaenda kazini au ndo wale kutwa mmelala,mnalishwa na wanawake zenu??kazi zenu kushughulika viatandani aka wazee wa kazi??????????? Invest hiyo sex drive kwenye mambo mengine na uwe na kiasi na considerate kwa yule uliyenaye.ahhhhhhhhhhhhhhhhhh
nalima kuanzia saa moja hadi saanne na napata mavuno bomba...kuanzia saa tano hadi saa kumi na moja alfajiri.... ni GWEDEGWEDE tu...!! anapmua kwenda kupika na kula na kuosha vyombo..!!
 
unajua inaoneka hapa unachoongelea wewe ni kutiana tu...

nakupa mfano tu..
asubuhi
umeamka asubuhi ukaingia bafuni mkeo akaja kukusugua mgongo (akakupa kidonge cha kwanza cha klorokwin)
mmetoka bafuni weye wavaa nguo ye yuko na kanga moja kaenda jikoni kukuandalia breakfast

mchana
watoto wako shuleni..
weye wa enda nyumbani kupata lunch na na dozi ya pili..

jioni
watoto wanafanya homework
weye uko na mkeo jiko mnaandaa chakula cha jioni..
hapo mnashikana, mabusu tele tele, huku mnaongelea siku ilivyo..

baada ya chakula cha jioni
manakaa na watoto mnasahihisha hizo homework walizo fanya..
wanaangalia TV kwa muda hao kitandani..

sasa hapo ndo muda muafaka..
mnaanzia kwenye coach mnapeleka mpaka kitandani..
huku mnaacha nguo moja baada ya ngingine nyuma..

mmmhh nyumba ndogo unatafuta nini???
siku saba za wiki....mbavu zipo?
 
mmhhhh
si ndo maana ya ndoa hiyo..
24/7
kutimiziana..
sio kutiana tu aaa
the total package
 
Back
Top Bottom