Hata hivyo tumechoshwa na habari za skendo za rushwa. Hakuna muda wa kutosha wa kujadili watu wamepanga nini, wameiba sh ngapi n.k. Huu ni muda wa kujenga taifa letu changa lililokwama kwenye wimbi la umasikini.
Taifa haliwezi kujengwa kwa ufisadi ndo maana kila wakati ni lazima tufichue maovu! we unataka kuacha watu wale nchi alaf unataka utegemee kumaliza umaskini