UDA- Enzi hizo

Baadae na hivi navyo vikaja........
 
Kweli mambo yamebadirika na ya kale ni dhahabu na hivi zamani kulikuwa na barafu Dar au macho yangu?
 
Ha ha ha haaaa.. Itakua macho yako tu bro, Yaani hii dar iwe Na barafu.. Duh, sidhani.
 
Mkuu kweli macho yangu, ila angalia ile picha ya lile bus la juu sijui ndio ikarusi lile, yale manzari yana ukungu.
 
Hiyo Ikarus picha ilipigwa wakati bado hilo bus lipo Hungary. Angalia hiyo miti, haipo Dar.
 
Asante mkuu, kama ni hivyo basi ninayaamini macho yangu, maana hilo jengo nilidhani ni posta posta ya zamani au railway station opposite na central police. Daah
 
Kweli mambo yamebadirika na ya kale ni dhahabu na hivi zamani kulikuwa na barafu Dar au macho yangu?

Saaaaana tu mbona......winter flan amaizing nini......
 
Reactions: bdo
Hahaha!! Wakati jiji likiwa na watu wachache UDA zilikuwa kubwa. Kadiri watu wanavyoongezeka ukubwa wa mabasi unazidi kuwa mdogo. Kutoka hilo hadi vipanya na sasa bodaboda. Halafu tunalalamika folen. Wenzetu baada ya hayo zilifuata tren! Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…