Nafikiri itakuwa reference Kwa hawa wachunguzi Kuonyesha wanafuatilia kero Za wananchi.
1. Huyu aliyepiga simu kutishia kumpoteza Makurungenzi wa Jamii forum. Mimi Naona evidence zipo ni polisi tu Kuwa na nia ya dhati maana namba zote zimesajiliwa Kwa biometric.
2. Tuhuma wanazotaka Polepole aende kuzitolea maelezo polisi Wewe specific ni zipi ili sisi wananchi tunaweza Kuwa Saidia. Mfano Mkuu wa usalama watoto wake kuonyesha mabunda ya madolali na magari ya mabilioni picha Mjongeo zipo ni kuzichunguza tu je ni genuine? Inawezekana ni kipato halali.
3. Kiziga kutuhumiwa Kuwa ni supplier wa uniform jeshini haihitaji polepole kuelezea waende jeshini wachunguze jinsi alivyopata tender.
4. Mangula kulishwa sumu kweli au is kweli? Mangula yupo
5. Mgodi kuuzwa Kwa Rostam Kwa billion 5 hahitajiki polepole aende . Rekodi zipo ,mgodini au Blela.
6. Mgodi wa makaa ya Mawe wanashindwa kuchunguza hadi polepole aje ?
Mnaweza kuongeza zingine Otherwise wanadhihirisha Maneno ya Polepole Vyombo Vya usalama viko compromised.