Uchunguzi Mwingine Hauna Tija

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Posts
2,976
Reaction score
2,174
Nimekutana na hii picha ambapo huyu kijana wa Kizungu yuko anashangaa kuichunguza sanamu iliyochongwa kwa Aluminium ili agundue kama kuna chocgote. Uchunguzi mwingine huwa hauna tija jamani.

 
Lol! Kuna uchunguzi na kujaribu. Huyu kuna kitu anajaribu hapo.
 
Kaona achunguze eneo hilo tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…