Nilichogundua kwako mleta mada in kuwa muda mwingi unafuatilia sana maisha ya watu ndio maana umeandika mengi kuhusu watu mbalimbali uliowafuatilia maisha yao
Watu wa aina yako wengi huwa maskini na Vila kuficha na wewe uko hilol kundi
Maskini muda mwingi hufuatilia maisha ya watu wakati tajiri hujua mengi kuhusu utajiri wake au biashara zake MTU kama Mo Dewji au Bakhresa wa Azam hawezi kuwa na muda wa kuchunguza watu na kuandika hayo uliyoandika mleta mada.Ni maskini pekee ndie aweza
Afadhali Umesema watu wengi na sio wote.
Kuna ishu ya Exceptional siku ukijua Jambo hili utafika mbali.
Wakati nasoma wapo watu waliodhani Kwa akili zao ndogo kuwa Kwa vile Mimi ni mjanja mjanja, sisomi na wala hawajawahi kuniona na Daftari wakadhani nitafeli
Lakini kumbe ni ujinga kufikiri kuwa watu wote ni Sawa.
NILIFAULU Kwa kiwango cha daraja la Kwanza tena nikiwa kinara katika Darasa letu Kwa mwaka huo.
Kidato cha sita halikadhalika hivyo hivyo, nilikuwa miongoni mwa waliofaulu Kwa daraja la Kwanza ambao tuliokuwa wachache.
Chuo kikuu nacho halikadhalika.
Ninachotaka kusema ni nini!
Wapumbavu hulijaji jalada la kitabu pasipo kujua ndani yake kuna nini.
Ndio watu kama wewe.
Wengine ni Exceptional.
Unaweza kumuona yupo hivi kumbe yupo vile
Unaweza muona anamaisha simple kumbe anautajiri.
Unaweza muona ni Tajiri kumbe ni masikini.
So mtazamo wako mara nyingi hupatikana Kwa watu wapumbavu.