Uchungu wa pesa una uma🥲

Ifike hatua sisi wenye ndoa tamu na zilizodumu tuwe tunaongea zaidi.
Acha nikutie moyo uoe tena, ndoa raha sana 😂
 
Ifike hatua sisi wenye ndoa tamu na zilizodumu tuwe tunaongea zaidi.
Acha nikutie moyo uoe tena, ndoa raha sana 😂
Wanandoa wengi wangekuwa hawachepuki, hawazai ama hawateswi na mapenzi ya watu waliopo nje ya ndoa.

wangekuwa ni watu ambao wengine wote wanaowazunguka wanawaona kama role models. Sidhani kama ndoa ingepigiwa promo ya uzuri wake ila kwa sababu uhalisia unajulikana. Ni ngumu sana kuwaaminisha watu tofauti
 

90m alihonga?
 
Bwashee ukipiga nyeto ni ngumu kuendeshwa kindezi
Sana! Wife siku mmoja alijifanya kuninyima mbunye. Mimi Wala sikuhangaika naye, nilikwea zangu mnazi kwa kono moja mbele yake, nikarusha Moja, nikalala. Tangu siku ile hadi Leo sijanyimwa tena.

Mwanamke muoneshe kuwa una plani B au replacement yake, atanyooka tu!
 
Kabisa bwashee , sasa unadinya kina melamine densely unawaza nini😅
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…