Uchungu wa kuzaa wanakoma sana

"Utazaa kwa uchungu". Adhabu kwa mwanamke.


" utakula kwa jasho". Adhabu kwa mwanaume.

Ninaamini Mungu anatenda haki na usawa. Hata hizo adhabu zimetolewa kwa haki na usawa!

- KANA -
 
ujinga ni kutumia akili za binadamu kuelezea maisha ya mbuzi au ngombe au wanyama wengine, nani kakwambia wana maumivu wakati wa kuzaa?
itakua huna macho ,kwani kiumbe kinachopata maumivu ukikiona hujui? ina maana wanyama wakizaa wanasikia utamu
 
Niamini hivi.. maumivu niyakawaida sana ila ke ni walaini kudeka, waongo,kulia-lia ndo maisha yao...fikiria mm ni 23 nam-f#ck 45 na anavuvuzela machozi ya kufua shuka utaamini vipi akikwambia kuzaa kuna uchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Utazaa kwa uchungu". Adhabu kwa mwanamke.


" utakula kwa jasho". Adhabu kwa mwanaume.

Ninaamini Mungu anatenda haki na usawa. Hata hizo adhabu zimetolewa kwa haki na usawa!

- KANA -
kwahiyo hakuna mwanamke anayekula kwa jasho .au hakuna mwanamke asiyezaa kwa uchungu.maandiko yanapitwa na wakati haraka sana .sijui miaka 50,000 ijayo watu watasoma maandiko gani
 
Kizazi cha digital,unafanya operation tu mtoto unamtoa tarehe unayoitaka wewe.
ndio mana nikasema haya maandiko yashapitwa na wakati miaka 2000 tu cjui huko miaka 50,000 ijayo itakuwaje
siku hizi kuna wanaume hawali kwa jasho wala nini ila wanawake ndio wanakula msoto balaa,na kuna wanawake wamezaa na wala huo uchungu hawaujui ukoje
 
Back
Top Bottom