UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

Una maana gani hasa? What is your message?
 
Hata akikosa it's ok, nimeitendea haki nafsi yangu kwa kumpa kura yangu.
 
Kwa wapenda maendeleo watamkumbuka na kumhitaji lowassa kesho tu!! Na saiz hatuna wa kumlam maana hii ilikuwa nafasi yetu kufanya maamzi sahihi, lkn kwasababu uelewa wetu ni mdogo na tunaendeshwa na njaa pia ushabiki. Kubwa zaidi tumetawaliwa na ubinafsi
 
Sikupoteza kura yangu kwa kuipigia ukawa na mhLowasa.Moyo wangu umetulia,ninayo furaha na amani .
 
Mpaka sasa bado tume haijamaliza kutangaza matokeo, na fisiem wamemzidi Laigwanani kura laki 3,88,830 sasa cha kufanya muongee ungese ni nini:what: bado matokeo ya majimbo mengi sana tunaamini Lowassa atawagaragaza mpaka mjute, piiiiiiipooooozzz...!!!
 

Kwa Lowassa uwelewa wetu mkubwa sana ila wale waliompa kura hizo 100+ wana uwelewa mdogo na mtu anaejielewa na.kumuelewa Lowassa hawezi kumpa kazi ya urais ukiacha ukanda, ukabila etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…