Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
- Thread starter
- #21
mama Mchungaji si anatakiwa kuwa msaidizi wa mchungaji? anamsaidia nini?
nilidhani msaada anaohitaji sana ni kufunga na kuomba pamoja. sasa kama wote wanasaidia kwenye mifungo na maombi inakuwaje mwingine anakuna na uhitaji wakati mwingine hana?
Haya mambo haya.........:loco:
Kuwa kwenye ndoa hakuwafanyi mumwe mmoja
Wote mmelelewa tofauti,malengo yenu ya kuingia ndoani yanaweza kuwa tofauti pia
Kilichowaunganisha kwenye hiyo ndoa ni kingine ambacho hakihusiani na kazi zenu
Hivyo basi na kwenye eneo hili mahitaji nayo hutofautiana pia
ICHANA ameongea jambo la msingi sana aliposema wakatio wa kuchagua mke/mume ndio wa muhimu sana
Kama uliamua kuolewa/oa nesi usilalamike pale ambapo anapokuwa shifti ya usiku!
Last edited by a moderator: