Mkuu huku sio mahala pa huu uzi wako peleka kweny jukwa la siasa uku ulipoleta huu uzi wako sikokila siku naskia serikali inasema imefanya hiki imefanya kile je ni kweli kuwa uchumi wetu umepanda???
Ndio maana tunaficha kiasi cha deni la Taifa.kila siku naskia serikali inasema imefanya hiki imefanya kile je ni kweli kuwa uchumi wetu umepanda???