IAMswaggstatic
Member
- Apr 23, 2012
- 76
- 71
Gazeti la JAMBOLeo, jumapili, 16-10-2016 linaandika,
'UCHUMI WANYAUKA'..,
Benki Kuu yakiri hali mbaya karibu kila sekta muhimu....
.., najiuliza hapa maswali sipati jibu.., huyu Gavana wa benki kuu, Profesa Beno Ndulu, mwezi uliopita (Septemba) alitoka mbele ya waandishi wa habari na kuwaeleza watanzania kwamba UCHUMI UNAIMARIKA KWA KASI SANA..., mwezi haujamalizika mwingine, zinatoka taarifa zingine...
Mwaka huu tutaona, tutasikia na tutasadiki mengi sana, sitaki kuamini hata wale wasomi wetu katika taifa hili wameamua kujivika miwani za mbao na wanapiga makofi kusifia 'kitumbua' chao na kumfurahisha mfalme!
Tunafanya kazi kwa ajili ya wananchi wa taifa hili au tunafanya kazi ili kumgurahisha mfalme...!!? Kwanini tumeamua kuacha akili zetu na maarifa yetu yote sasa tunaishi kwa kusadikika!!?
Huyu anasema uchumi unakuwa kwa kasi (kumbe hali ni tete).., yule anasema dawa zipo za kutosha (kumbe ni maigizo).., yule anasema kuna ukaguzi na uhakiki (kumbe ni maziongaombwe ya kuchelewesha ajira rasmi).., yule anasema makusanyo yameongezeka (kumbe ni hadithi za soga za mzawa)..
Mimi ni shuhuda.., nitashuhudia mengi sana.., hili ni ajabu la 36 tangu novemba 2015.., naendelea kuyarasimisha maajabu hayo!
Martin Maranja Masese,
Mwananchi wa kawaida.
Benki Kuu yakiri hali mbaya karibu kila sekta muhimu.... .., najiuliza hapa maswali sipati jibu.., huyu Gavana wa benki kuu, Profesa Beno Ndulu, mwezi uliopita (Septemba) alitoka mbele ya waandishi wa habari na kuwaeleza watanzania kwamba UCHUMI UNAIMARIKA KWA KASI SANA..., mwezi haujamalizika mwingine, zinatoka taarifa zingine...