Uchumi wameukamata....mpaka siasa pia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchumi wameukamata....mpaka siasa pia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Boflo, Sep 10, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Niko Bongo kwa muda, nimejaribu kuzunguka maeneo ya Mjini,Upanga, Mchafukoge,Kariakoo...n.k.Nimekutana na mabango makubwa ya ccm yenye wagombea wa udiwani na baadhi ya Wabunge yote yana picha za Wahindi, kwa kweli ni jambo la kuhuzunisha sana. Hivi hawa watu wamekamata Uchumi wote, na siasa pia??? Mtanzania halisi hivi leo atakimbilia wapi?? Hivi sasa naamini kabisa Bwana Gadafi yuko sahihi kabisa kutuita sisi ni Ma Ignorants.Haya mambo sasa tunayofanyiwa na serekali yetu ni TOO MUCH.... hii ni sawa na mtu kukupiga finger ya makalioni kisha akakwambia nusa nusa nusa!!!
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nimeweka post humu leo nikielezea hili jambo! Hawa jamaa, ambao katika maisha ya kila siku, wako mali na jamii ya wazalendo, wameibuka kwa kishindo na kuikumbatia ccm. Hebu fikiria, ingekuwa ni zile enzi za Mwl. Nyerere wangefanya hivyo? La hasha. Sera za ccm zinakwenda sambamba na mahitaji yao, na ndio maana wengi wanakishabikia. Karl Marx aliwahi kusema kuwa,' ukitaka nguvu za utawala, lazima uwe na nguvu za kiuchumi'. Hawa wanazo za kiuchumi na sasa wanataka kutawala, kupitia Waafrika wenzetu. Watanzania tuamke, huu ni ukoloni wa sura nyingine, ni ukoloni mamboleo. Ukoloni mamboleo ni pale unadhani unatawala, kumbe kuna mtu mwingine anayefaidi ameshikilia hatamu, na wananchi ndio kama farasi.
   
 3. Y

  Yasebhase Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DR. SLAA FOR PRESIDENT.... Haya yote tutayasahau, WAKENYA wameweza Jamani, kwanini sisi tushindwe?
  2010.. HATUDANGANYIKI.
   
 4. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo mkuu umesema kweli kabisa........ JK ametusaliti vya kutosha..... enough enough enough!!!
   
 5. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo pia mkuu unesema kweli kama signature yako inavyojieleza
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  This can only be found in Tanzania!...not anywhere else on Eath!..huh!
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kenya nako kulikuwa na wahindi? au nikuropoka tu?
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kweli we ni chizi, hivi kikwete ndo aliowapigia kura wakapita? akina marehemu Gulamali walikuwa wabunge kipindi cha jk? Kata kawa wanaomaliza muda wao aliewapitisha ni JK? kwani Mkapa si ndo alikuwa mwenyekiti kati anawapitisha akina dDewji, Zungu na wengine, sasa JK anahusika vipi? Yaani mijitu mingine bwana ukisoma habari zao mpaka zinaudhi, sijui wanaongelea kwenye madhabahu yao! Aggghhhh... Baada ya oct 31 yataadhiraka sana haya majitu. Aibu iwe juu yao.
   
 9. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280

  Duh, ukweli unauma bwana! imeniuma mpaka basi tena, niko ughaibuni lakini nikiona jinsi hawa jamaa nilipo walivyo serious na utaifa wao ni mpaka raha. jama hata kwenye TV zao wanaonyesha nani kafanya nini kwa ajili ya nchi yao, kwa ufupi tunaacha wenyewe kufanya vitu vinavyotufanya kuendelea kuishi hata baada ya kufa.

  Fikiria leo hii kiongozi wa ccm akifa, tutamkumbuka kwa lipi la maana ambalo vijana wetu, watoto wetu wajukuu wetu watakuwa wanaonyeshwa kuwa huyu jamaa bwana aliweza kuondoa ujinga nchini, aliweza kutupa morali ya kufanya kazi mpaka tukashika namba moja duniani kwa uchumi imara.
  Ngoja niishie hapo maana nalia jamani, nikiwa auchungu wa nchi yangu.
   
 10. S

  Safre JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi sioni kama ni kosa kama uhumiaji wanawajua kama ni raia wa tz rejea types of citizen
   
Loading...