Uchumi wa Tanzania

Anti-tozo

Senior Member
Joined
May 23, 2015
Posts
125
Reaction score
121
Ukisikia uchumi wa hili taifa unakuwa inabidi utafakari na kunywa maji mengi sana maana dah!
 

Attachments

  • Screenshot (223).png
    77.2 KB · Views: 12
Mambo ya kuwaambia wadanganyika hali halisi ya uchumi wa nchi yao haituhusu.

Kama uchumi umekufa au umeenda kuzimu, mtajua wenyewe.

Sisi kazi yetu ni kuwaambia kile kitu mnachotaka kusikia e.g. uchumi umepanda, tutawaletea maendeleo, maisha bora kwa kila mdanganyika,
hapa kazi tu,
kazi iendelee, baaasi.
 
Uchumi sio exchange rate
Fedha ya Kenya ipo juu kidogo kushinda ya Japan
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…