Leo nilikuwa tabora katika harakati za maisha nikasikia tangazo la watu wanao takiwa kulipia vitambulisho vya biashara au ujasiliamali nimesitaajabu sana kama ni kwelo basi uchumi wetu upo taabani
kwanza wauza mchicha
2 mafundi selemara
3 wakodisha baiskeli
4 waosha magari
5 wapaka rangi kucha kwa akina mama
6 madereva boda boda
Orodha ni ndefu sana kwa namna nilivyo sikia uchumi upo taabani na kesho mkuu wa wilaya atakuwa na kikao na watu hao
maeneo ni usinge wilaya ya kaliua tena huo mkutano utaanza saa mbili asubuhi nilitamani niwepo ila nipo safari kuelekea nyumbani dar es saam tuache siasa tuna hali mbaya kiuchumi wasalam.