Uchumi wa Tanzania unaelekea shimoni

hito

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
501
913
Leo nilikuwa tabora katika harakati za maisha nikasikia tangazo la watu wanao takiwa kulipia vitambulisho vya biashara au ujasiliamali nimesitaajabu sana kama ni kwelo basi uchumi wetu upo taabani
kwanza wauza mchicha
2 mafundi selemara
3 wakodisha baiskeli
4 waosha magari
5 wapaka rangi kucha kwa akina mama
6 madereva boda boda

Orodha ni ndefu sana kwa namna nilivyo sikia uchumi upo taabani na kesho mkuu wa wilaya atakuwa na kikao na watu hao
maeneo ni usinge wilaya ya kaliua tena huo mkutano utaanza saa mbili asubuhi nilitamani niwepo ila nipo safari kuelekea nyumbani dar es saam tuache siasa tuna hali mbaya kiuchumi wasalam.
 
leo nilikuwa tabora katika harakati za maisha nikasikia tangazo la watu wanao takiwa kulipia vitambulisho vya biashara au ujasiliamali nimesitaajabu sana kama ni kwelo basi uchumi wetu upo taabani
kwanza wauza mchicha
2 mafundi selemara
3 wakodisha baiskeli
4 waosha magari
5 wapaka rangi kucha kwa akina mama
6 madereva boda boda
orodha ni ndefu sana kwa namna nilivyo sikia uchumi upo taabani
na kesho mkuu wa wilaya atakuwa na kikao na watu hao
maeneo ni usinge wilaya ya kaliua tena huo mkutano utaanza saa mbili asubuhi nilitamani niwepo
ila nipo safari kuelekea nyumbani dar es saam
tuache siasa tuna hali mbaya kiuchumi
wasalam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mawazo yako tu mkuu
Tupo vizuri mnooooooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awali ya yote naunga mkono hoja yako.
Pili uchumi wa nchi hauwezi kutegemea maskini au wajasiriamali wa hali ya chini kuchangia pato la taifa.
Nchi hii ni moja kati ya nchi zilizo barikiwa kuwa na RASILIMALI nyingi (natural resources) kama madini, gas, mbuga za wanyama, milima, mabonde, nk.
Swali langu kama mtanzania wa kawaida, mlituahiadi kuwa mtatumia rasilimali zetu za nchi kuboresha maisha ya watanzania. Je hadi sasa kwa nini mnatumia kodi za maskini badala ya rasilimali za nchi ambazo ndiyo zenye mapato makubwa zaidi kuendesha uchumi wa nchi?

No maanalizi hap watatoa ishirini wenye tini watatoa hamsini
 
Leo nilikuwa tabora katika harakati za maisha nikasikia tangazo la watu wanao takiwa kulipia vitambulisho vya biashara au ujasiliamali nimesitaajabu sana kama ni kwelo basi uchumi wetu upo taabani
kwanza wauza mchicha
2 mafundi selemara
3 wakodisha baiskeli
4 waosha magari
5 wapaka rangi kucha kwa akina mama
6 madereva boda boda

Orodha ni ndefu sana kwa namna nilivyo sikia uchumi upo taabani na kesho mkuu wa wilaya atakuwa na kikao na watu hao
maeneo ni usinge wilaya ya kaliua tena huo mkutano utaanza saa mbili asubuhi nilitamani niwepo ila nipo safari kuelekea nyumbani dar es saam tuache siasa tuna hali mbaya kiuchumi wasalam.
Wewe ni mchumi uchwara
 
Kichwa cha habari ni uchumi wa Tanzania kuelekea shimoni. Mada kwenye uzi inazungumzia wafanya biashara kupewa vitambulisho. Hivyo vitambulisho vinahusianaje na kudidimia kwa uchumi wa nchi? Oanisha kichwa cha habari na habari yenyewe. Naona nia yako ni kushutumu juhudi za serekali na unaishia kuweka kichwa cha habari ambacho hakiendani na habari unayoizungumzia. Kama nia yako ni kukejeli utoaji wa vitambulisho, toa hoja za kuelewesha kwa nini vitambulisho hivyo havina maana.
 
Awali ya yote naunga mkono hoja yako.
Pili uchumi wa nchi hauwezi kutegemea maskini au wajasiriamali wa hali ya chini kuchangia pato la taifa.
Nchi hii ni moja kati ya nchi zilizo barikiwa kuwa na RASILIMALI nyingi (natural resources) kama madini, gas, mbuga za wanyama, milima, mabonde, nk.
Swali langu kama mtanzania wa kawaida, mlituahiadi kuwa mtatumia rasilimali zetu za nchi kuboresha maisha ya watanzania. Je hadi sasa kwa nini mnatumia kodi za maskini badala ya rasilimali za nchi ambazo ndiyo zenye mapato makubwa zaidi kuendesha uchumi wa nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Rasilimali asilia zilizopo zinahitaji wawekezaji wa ama kuziendeleza au kuzivuna. Kuzivuna kunahitajika mitaji mikubwa ya mabilioni ya dola. Wenye mitaji ya namna hiyo tumewafukuza kwa vile ni mabeberu ili sisi wenyewe wenye mali tukavune gas yetu kule kwenye maji ya kina zaidi ya kilometa 2.

Kwa kuwa uwezo hatuna, na wageni hatutaki wavune, utajiri wetu utakuwepo kwenye mawazo yetu lakini maisha yetu lazima yaoneshe umaskini wa akili zetu jinsi ulivyo.
 
uchumi wa kenya umejengwa na wajasiria mali wadogo wadogo by uhuru kenyata kwenye ufunguzi wa namanga one actock center
Mjasiriamali mdogo wa Kenya ni sawa na mfanyabiashara wa kati wa Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom