Mkuu Boss, Canada kulikuwa na tukio moja la kihistoria lililoitwa Klondike Gold Rush ambalo lilitokea katika kipindi cha miaka mitatu tu! 1866 hadi 1899.
Hiyo Dhahabu ilikuwa ni bomba kuliko hata ile ya Kimberly Afrika Kusini.
Hiyo Dhahabu ndiyo khasa iliyowatoa waCanada pamoja na maliasili zingine.
Soma link hii ukipata muda na utaelewa. Klondike Gold Rush - Wikipedia, the free encyclopedia
Mkuu mafuta, gas, madini, mbao ( mteja mkubwa USA na China) Kilimo, kodi (serikali ipo serious sana na ulipaji kodi) kikubwa zaidi utawala bora. Canada spends very little kwenye mambo kujihusisha na ugomvi wa mataifa yanayopigana. Wao kubwa kwao ni wahamiaji kuinua uchumi na Elimu bora.Hata Sweden wana utawala bora
but huioni top ten
Canada wana produce nini zaidi?
Scandinavia naona ndo wanaongoza duniani kwa ubora wa misha
kinchi kama Finland tu hatukiwezi
Ili inchi ipae kiuchumi inahitaji watu walioelimika na uongozi bora (good governance). Canada inavyo hivi vyote. Mbali na hapo wana rasilimali, mafuta, viwanda, kifupi uchumi wao uko diversified so wana earn kwingi.
Huku Afika tunakosa watu walioelimika na uongozi bora ndio maana hata rasikimali ziwe nyingi vipi bado ni vituko na viroja.
Mtaji pekee taifa linapaswa kuwa nao ni watu. Watu walioelimika. Elimu elimu elimu.
Mkuu hapa ndio unapata jibu tunakosa vitu viwili vya msingi. Watu walioelimika na siasa safi (good governance). Israel hawana rasilimali lakini wanawatu walioelimika na serikali imara. Nikisema serikali imara namaana strong institution si kiongozi mmoja anayejiamulia lolote aonalo linafaa.Hata Israel inatuacha sisi TZ wakati ni kinchi kidoogo mno
Barrick na tusubiri gas Mtwara. Nawaza tu!Wananyonya kivipi?
umenikumbusha saskatchewan manitoba na alberta ilikuwa mahrufu sana kwa ngano paleEnzi hizo nadhani Std. V or VI somo la jiografia - kilimo cha ngano Canada huko katika mbuga za Saskatchewan. Nadhani ngano iliwainua sana hawa jamaa.
Kubwa kuliko yote, kilichowainua zaidi ni kuwekeza sana katika brains za watu wao na kutumia brains hizo kubadili mazingira na maliasili zao kwenda katika tafsiri halisi na sahihi ya UCHUMI.
Ili inchi ipae kiuchumi inahitaji watu walioelimika na uongozi bora (good governance). Canada inavyo hivi vyote. Mbali na hapo wana rasilimali, mafuta, viwanda, kifupi uchumi wao uko diversified so wana earn kwingi.
Huku Afika tunakosa watu walioelimika na uongozi bora ndio maana hata rasikimali ziwe nyingi vipi bado ni vituko na viroja.
Mtaji pekee taifa linapaswa kuwa nao ni watu. Watu walioelimika. Elimu elimu elimu.
Utawala bora unameza utawala wa sheria...its a same thing!!Utawala bora [good governance] na utawala wa sheria [rule of law].
Mkuu kwa usahihi wako kwenye G8 na members kamili ni kama ifuatavyo
USA
UK
JAPAN
GERMANY
CANADA
ITALY
FRANCE
RUSSIA
Hawa ndio wababe kiviwanda duniani. Ila sijui kwa nini CHINA haimo.
alafu kipo jangwani maji yao yote wanafanyia recycle sisi tunamaji mpaka yakuchezea lakini ukimaliza km tano kunawatu wanashida kubwa isiyoelezeka ya majiHata Israel inatuacha sisi TZ wakati ni kinchi kidoogo mno
Hapo nimepata picha kwamba nchi hata kama ina uchumi mkubwa lakini population yake ni kubwa mfano nigeria ina wakazi wapatao mil400 jiji la lagos pekee lina idadi ya watu wa tanzania nzima!
Hapa ndipo pananichanganya maana logically nchi ikiwa na wakazi wengi uchumi unakuwa mkubwa sababu mzunguko wa pesa pia unakuwa wa kutosha ila ajabu kwa nchi kama nigeria ambae ni ya kwanza africa kwa utajiri wa mafuta lakini maisha yao ni duni.ipo tofauti hapo na nchi ya libya hapo awali ilikuwa na wakazi wasiozidi mil20 na waliishi kama peponi.
Hapa ndio pa kujipima kwa population yetu hii na hali yetu ya uchumi wa ubabaishaji maendeleo tutaona katika tv tu