Uchumi umekua kwa 7%! Yaani siwaelewagi kabisa!

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,339
2,430


Huwaga nashindwa kuwaelewa kabisa hawa watu!! Sijui hawaishi Tanzania?? Au wanaishi Tanzania wa vi-wonder?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…