Uchumi: Uchapishaji wa Fedha

Uchumi: Uchapishaji wa Fedha

Frank kabelinde

New Member
Joined
Jun 23, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Habari ndugu zangu, kuna swali ambalo huwa linanisumbua kichwa changu muda mrefu.

Hivi Ili inchi itengenezewe au ichapishiwe pesa yake huwa unafanyika utaratibu gani? Inalipia pesa kwa ajili ya kutengeneza hizo pesa? Na kama inalipia au halipii, kiasi ambacho kinatakiwa kutengenezwa wanakijuaje?
 
Ha ha! Mkuu kutengeneza fedha lazima ulipie na unalipa fedha.
Fedha nayo ni bidhaa kama bidhaa nyengine tu na kumbuka katika fedha kuna madini fulanifulani yanawekwa na tuvitu fulanifulani ili kuleta utofauti na zile fake maana usipofanya hivyo pesa fake zikiingia kwa wingi ni hatari kwa uchumi!.

Mengine watajibu wengine.
 
Back
Top Bottom