Uchumi na mapenzi

hapa mnazungumzia uhusiano kati ya mkwanja na mahusiano?
 
Mkuu kuchangia mada kwenye uchumi lazima uwe na kaufahamu kidogo ka uchumi, na siasa vilevile but kwenye mapenzi kila mtu anaelimu ya kuzaliwa.
 
Hapo chacha...kilichomtia min....ge ni nini mpaka kuja kuchungulia huku? Hahaha umenichekesha sana.
 
Ebwana paka mweusi inaonesha wewe unaishi marekani nini? We unafikiri atakayekuja kukukomboa hapo ulipo ni mzungu au maana inaonesha we kipato chako kinaaingia kupitia mapenzi au? unamaana gani?
Askudanganye mtu bwana wajinga ndio waliwao fungua blog za wenzzetu uone people zinaongelea kuhusu mtikisiko wa uchumi dunian ila sisi mapenzi. du UONI KAMA HIYO NI DANGER TUTABAKI KILA SIKU KUOMBA OMBA KAMA AKINA MATONYA.

ILA ANYWAY KAMUA MWANA UPO JUU.......?

the man from no where..........
 
sasa mkuu mi ndo nlikuwa naanza naingia kwenye JF so nilikuwa naingia kwenye topic karibu zote ili nione wapi nafit but mi niko compitent karibu kote ila lilikuwa swali la kimtego ili nipate who were addicted to love affairs poooooowa mazeeee
bon voyage
 


Mwenzetu ulifanyaje mpaka ukaibuka na hiyo statistic?
 
Twala sisi Washiba wao!!!!!, Uchumi ni wao, sisi watuachie Malovidovi, umbea na alfu lela ulela..... Na siku Zaenda!!!!!!!!!!
 
Kwa taarifa fupi tu.......binadamu kukurukakara zake zote anatafuta hela...kujijengea uchumi imara and eventually kujenga uchumi wa nchi ili apendwe............kwahiyo hangaika yote ikiwapo huo uchumi mwisho wake ni mapenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…