Mkuu communist/capitalist havikwepeki,lakini Kama jumuiya mnaweza chagua vyenye manufaa mnavoona vinawafaa,Ni wazo langu tu sio la wengine,mbona nyerere alikuwa Western na Eastern block akawa safe,mnaweza mkaachana na multipatism mkahimiza utendaji na elimu ya kizalendo ikatiliwa mkazo chini ya katiba yenye afya mkapiga hatua,lakini anyway Ni wazo langu tu,mnaweza mkasoma falsafa ya vyama vingi mkaja na dira Kama taifa,vitabu vya fasihi vimejaa hafai kuigwa wakati huyo huyo ndio anamiliki uchumi awe fisadi au Nani,walimu kule Ni balaa wafundishe mbinu za kupata fedha,mfano juma aliiba Ni tabia mbaya ila hata hivo alivoiba alitajirika na familia yake iliishi maisha mema na kwao aliweka lami hivo Basi kujitoa muhanga Ni mbinu nxuri,ila hata Kama unaiba usiibe kwenu ukapeleka kwa jirani iba kwa jirani ulete kwenu-ndio maana nakarbia kutoa kitabu changu kitaitwa chozi,maswali ya kifasihi kama fasihi haijamkomboa mtu masikini,au fasihi Ni mbwa asie na meno yamekuwa yakitanda kichwani kwangu-fasihi ya leo ije na talsafa ya goli la mkono,ushindi Ni ushindi kikubwa nyumbani utukuzwe Kama goli la mkono la Thierry Henry