Uchumba

Uchumba

Wapo wa kumwaga....wengine wanapatikana humu humu....
 
njo kwangu unachotaka ntakupa..... ntakupaaaaaa!
 
Wachumba?? huko unakoishi hamna wanawake unaishi peke yako??
 
nenda kwa wahaya temeke sudani ambao mapenzi ya kweli= pesa ya ukweli
all in all mapenzi ya kweli yapo kwa mama tu nukta
 
nani atakutakutaka wewe, unashindwa kuomba kukaribishwa JF ukafundishwa kuquote ukaweze kukubaliwa na demu
 
Naenda pale kona bar wapo wengi wenye hayo mapenzi ya kweli
 
ajawai kutoa 3d hyo xo anajifurahisha hapa kama hamjui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom