wanatafuta kutajirikia kwake huyo hao wazee nawashangaa sana wanatafuta pesa kupitia binti yaoHivi wazazi wengne wanaakili kweli? Sijaona bint wa milion 5 kwa dunia ya sa hivi.
pole sana wewe tulia tu maana huyo ashakuwa mkeo usijali watakuja wenyewe hao wazazi wakowanajua nilipokuwa naishi na maisha yangu ya kawaida tu mimi ni fundi ila hicho kiasi niliwaambia kuwa sina but wakakataa wakidai ndugu wanichangie hili itimie nimuoe binti yao
Hivi wazazi wengne wanaakili kweli? Sijaona bint wa milion 5 kwa dunia ya sa hivi.
sawa mkuu nimekupataMkuu huyo ana mimba alafu unaweweseka, hapo unaweza utoe tu 200k una mke tayari
[emoji30] [emoji30] [emoji30] faini tena mkuuWakwe wanataka wabadilishe mwanao na passo kaa kimya lea mimba ikisanuka watamtimua hapo unajibebea bila shida badae unapigwa faini
[emoji1] [emoji1] atulize wenge amsubili mkeweBasi kaa utulie usubiri mkeo.
Myoshi inakutesa.acha bangi ww! yule Wa kisarawe unazan ni Wa bei gan?