lutashobya1989
Member
- Nov 8, 2018
- 44
- 40
Mshikaji aangalie loopholes. Lazima kutakuwa na unfinished business somewhere.. a loose ends.Eeh ni manzi aidha X wake ama hawara wake ambaye hataki kumpoteza wala hafurahii kuona jamaa akiwa na mpenzi mwengine.
Wadau, Mimi ni mwanaume....kuna tatizo limenikumba na kuharibu uchumba wangu. Nilikuwa na mchumba wangu nyumbani kwangu,mida ya saa 5 usiku. Kabla hatujalala tukiwa wote,wakati huo nilikuwa niki-set alarm huku mchumba wangu akiiangalia simu yangu,ghafla iliingia sms ya mahaba mazito kutoka kwa mtu nisiyemfahamu.....kulingana na sms hiyo alidai kuwa amemisi penzi langu sana na angetamani tuonane,hivyo nimfuate au kama nipo bize aje yeye..Kiukweli nilichanganyikiwa na mwanamke wangu alishindwa kunielewa. Nkampigia simu hakupokea, akadai yupo kwenye makelele akitoka atanipigia. Nkamuuliza wewe ni nani ....akadai yeye ni Vero mpenzi wangu. Wakati mimi sijawahi kuwa na mpenzi wala mtu wa karibu au ambae nina mazoea nae tu,anaeitwa Vero. Nilipoendelea kupiga simu yake hakupokea akadai atanipigia soon..... Mwanamke wangu alishindwa kunielewa na akaondoka usiku ule. Alipoondoka nilimtafuta huyo muhuni lakin hakupokea simu,akidai yupo kwenye sherehe ....akitoka atanitafuta,lakini mpaka napaandika uzi huu sijapokea simu yake na mara nyingi hapatikani.
Wadau naomba mnisaidie nitamfahamu vipi huyu mtu ambae lengo lake ni kuniharibia mambo yangu.
Naambatisha na "conversation" tulofanya na huyo muhuni.View attachment 1002396
Sent using Jamii Forums mobile app
You have a point. Kila mtu ana react kivyake. Ushauri wangu ni kuwa asijarib kumlazimisha bibie amwelewe bali aendelee kimya kimya kumtafuta mbaya wake. Atakapomjua basi amalizie kesiHivi mlitegemea ndo amkumbatie vizuri after kuona hiyo text; asipanick arelax tu? Jamani kila mtu ana njia yake ya kureact, mimi ningekuwa huyo binti ningefanya tu hivyo hivyo, tungeongea siku nyingine after hasira zangu kuisha.
Let's not judge her, yeye akamtafute physically waongee, akigoma kuelewa ndo tutajuaga sasa. Lakini hapa tutahukumu tu bure, hapa ingekuwa text ndo imeingia kwa mdada ehehehee na makofi angeshakula na simu kuvunjwa kabla hata ya utetezi
Exactly.Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio majini yanatumia smat siku hizi kuna mdau alipost juzi kati jini limemtumia hela na linachat naeHahahah huyo ni manzi anaekujua na ameamua kukuharibia style makusudi tu. Tuliza kichwa taratibu utamgundua otherwise wataalamu watakuja na ngonjera za jini mahaba. Sasa sijui majini wanatumia smartphone sikuhizi!
Hivi yule jamaa kaishia wap.. nilivyona season4 ya mchango nikajua tunapoelekea hapa ni utapelindio majini yanatumia smat siku hizi kuna mdau alipost juzi kati jini limemtumia hela na linachat nae
Sent using Jamii Forums mobile app
hata mimi ndo niliyoishia nikashtuka mwanzo alienda vizurii mwisho akaaribuHivi yule jamaa kaishia wap.. nilivyona season4 ya mchango nikajua tunapoelekea hapa ni utapeli
Hivi huo ulimwengu wa mchumba wako unaujua wote? Unafikiri atatoa namba ys demu wa karibu ili umjue! Yeye anaweza kuwa dar huyo vero yupo Arusha kapewa mchongo huoKaka asante. Uelewa wangu ni mdogo ndo maana nkaomba msaada. Ila kwa uelewa wangu mdogo nmefanya yafuatayo. Nmeangalia tigo pesa, jina kweli ni Veronica lakini sijawahi kuwa familiar na hilo jina. Nme-search hilo jina na number Facebook lakini hakuna details.... Nmeangalia whatsap...hayupo whatsap...nmewapa watu wangu wa karibu hiyo no wachunguze,lakini hajibu calls wala sms. Naomba msaada wako, nmesema uelewa wangu ni mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nakusikiliza na kwa kuwa Umekiria kuwa Umebobea kwenye hiyo sekta sina Shaka na kweli wote bado wanakupigania, Confirmatory test done . Big up brotherKwa mimi mwenye uzowefu kwenye hii sekta ya mahusiano, naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.....Huyo mwanamke alikua hakupendi, na alikua ana target umkosee ili apate strong reason ya kukuacha.
Kimsingi ipo hivi...... Mwanamke kama anakupenda, hata ikitokea amekufumania ukiwa kifuani mwa mwanamke mwingine huyo hawezi akakuacha ama lahh, atakupa nafasi ya kukusikiliza basi hata umdanganye na kisha maisha yaendelee.
Naomba kuwasilisha
View attachment 1002401
Kupiganiwa sio sifa, na katika safari ya mahusiano naamini kuna watu wengi hasa wanaume (wanafiq) ambao hupendelea kujionyesha kwamba wao ni wasafi na hawakuwahi kukisea ama kuwa na wachumba zaidi ya mmoja wakati wa ujana wao.Unajua nakusikiliza na kwa kuwa Umekiria kuwa Umebobea kwenye hiyo sekta sina Shaka na kweli wote bado wanakupigania, Confirmatory test done . Big up brother
Mkuu, sioni sababu ya kumuuliza maswali mengi mleta mada.Mkuu huyoalaikuwa mpenzi wako wa Muda mrefu au Mchumba wako? Level ya Uchumba wako ikoje? Ulishato mahali na kutambulishana pande zote za Familia? Ukinijibu nitakuja na Majibu ya kilichotokea.
Ila tofautisha Mahusiano ya Kingono ambayo wengi mnayaita ( Mapenzi, Upenzi) na mahusiano yaliyoruhusishwa na familia za pane=de zote mbili ambazo ndizo zinazaa neno (Mchumba/Uchumba) baada ya kutoa Posa au kitu chochote ambacho mila husika zinakiheshimu...
Nawasilisha