alHuyo mchumba wako NI galasa,
NI mkurupukaji, Hafai kuigwa.
Hajui watu hukosea kutuma meseji? Kwanini asingeikopi hiyo namba akafanya uchunguzi wake?
Na inawezekana alikuwa hakutaki ,Hivyo kasuka dili na shoga yake wakafanya walivyofanya ili akuache.
Achana naye huyo atakupotezea MUDA.
kabisa mesej za kawaida sanaaaa alf huyo manzi akaondoka muda huo huo alijiandaa kbs
That's my baby, dada wa watu wameshaanza kumhukumu vibaya hiyo ni reaction ya kawaida kabisaNashangaa baadhi ya watu, walitegemea mdada aendelee kumkumbatia hapo akisubiri utetezi wake. Me mwenyewe ningeondoka kwanza, angekuja kunitafuta siku nyingine akili zangu zikiwa zimeshatulia. Watu wanachukulia "trust" kama kitu kidogo, while ni kitu cha msingi sana. Kukiwa na dalili za kuvunjika kwa trust mtu hawezi kukuchekea tena
Mtoa mada nenda kwa baby wako physically kaongee naye vizuri, mtaelewana tu. Usianze kumhukumu tu kuwa labda anahusika na huo mchezo. Muwe na chance ya kuongea, mtapata muafaka.
Alichoharib kwanza amepanick. Huyu mwanamke anamjua na ameamua kumchezea rafu.Hahahah huyo ni manzi anaekujua na ameamua kukuharibia style makusudi tu. Tuliza kichwa taratibu utamgundua otherwise wataalamu watakuja na ngonjera za jini mahaba. Sasa sijui majini wanatumia smartphone sikuhizi!
You have a point.Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
NILIWAZA KAMA WEWE? ALIKUA ANAMTAFUTIA SABABU. HUYO VERO NI RAFIKI YAKE KAMSETIHilo game linachezwa na huyo demu wako mlio nae hapo geto.AMETAFUTA SABABU YA KUKUACHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inakuja pale demu anataka atoke nje ya uchumba kwenda kujaribu kwa li jamaa lingine ili amuweke kipolo jamaa iwapo akimkamata ajitetee kuwa alianzisha yeye.NILIWAZA KAMA WEWE? ALIKUA ANAMTAFUTIA SABABU. HUYO VERO NI RAFIKI YAKE KAMSETI
Alichoharib kwanza amepanick. Huyu mwanamke anamjua na ameamua kumchezea rafu.
Atulize kichwa amtafute
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui labda wenzetu wamezoea sana cheating to the extent hata message kama hiyo ikiingia ndo, unamkumbatia kabisa papa mupenzi; hustuki mweeeehThat's my baby, dada wa watu wameshaanza kumhukumu vibaya hiyo ni reaction ya kawaida kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hazijakosea njia zimeenda sehemu sahihi kwa mpango maalumUMENIKERA SANA ULIPOSEMA UKIONA TXT TU UNASEPA? ZINGINE ZINAKOSEA NJIA KAMA YA HUYO JAMAA
[emoji23] [emoji23]
ANZA KUMLAUMU MANZI WAKO KUWA YEYE NDO AME FANYA YOTE HAYOO KISHA MUWEKE NGUVU YA KUMTAFUTA WOTE NAHISI ITASAIDIA.Wadau, Mimi ni mwanaume....kuna tatizo limenikumba na kuharibu uchumba wangu. Nilikuwa na mchumba wangu nyumbani kwangu,mida ya saa 5 usiku. Kabla hatujalala tukiwa wote,wakati huo nilikuwa niki-set alarm huku mchumba wangu akiiangalia simu yangu,ghafla iliingia sms ya mahaba mazito kutoka kwa mtu nisiyemfahamu.....kulingana na sms hiyo alidai kuwa amemisi penzi langu sana na angetamani tuonane,hivyo nimfuate au kama nipo bize aje yeye..Kiukweli nilichanganyikiwa na mwanamke wangu alishindwa kunielewa. Nkampigia simu hakupokea, akadai yupo kwenye makelele akitoka atanipigia. Nkamuuliza wewe ni nani ....akadai yeye ni Vero mpenzi wangu. Wakati mimi sijawahi kuwa na mpenzi wala mtu wa karibu au ambae nina mazoea nae tu,anaeitwa Vero. Nilipoendelea kupiga simu yake hakupokea akadai atanipigia soon..... Mwanamke wangu alishindwa kunielewa na akaondoka usiku ule. Alipoondoka nilimtafuta huyo muhuni lakin hakupokea simu,akidai yupo kwenye sherehe ....akitoka atanitafuta,lakini mpaka napaandika uzi huu sijapokea simu yake na mara nyingi hapatikani.
Wadau naomba mnisaidie nitamfahamu vipi huyu mtu ambae lengo lake ni kuniharibia mambo yangu.
Naambatisha na "conversation" tulofanya na huyo muhuni.View attachment 1002396
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka si sms moja....Ni conversation kabisa....kuna attachment nimetuma,tafadhali pitia,utaelewaUmechezewa mchezo mkuu, haihitaji PhD kujua hili. Sms tu ya mahaba tena ilokosewa mchumba akuache!
Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.
Sent using Jamii Forums mobile app
maoni ya wachepukaji wazoefu😅😅😅😅Mwanamke anayekupenda ni ngumu sana kukuacha kwa kosa moja. Mimi nilifumwa na love bite shingoni. Nkamuambia kuwa ilr sio love bite nliangukiwa na mbao nikiwa site.. Alikua mbishi kuelewa lakini akakubali na nikala mzgo mda huo huo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute, kaongee naye face to face. Achana na mambo ya assumptions, usije ukamuhukumu mtu bure. Hakuna mtu ambaye angeona text kama hiyo afu akasmileAsante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda yani, hio situation ipo very trickyAu ni dume tu linamtaka huyo mchumba wake ndio maana halipokei simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh ni manzi aidha X wake ama hawara wake ambaye hataki kumpoteza wala hafurahii kuona jamaa akiwa na mpenzi mwengine.Alichoharib kwanza amepanick. Huyu mwanamke anamjua na ameamua kumchezea rafu.
Atulize kichwa amtafute
Sent using Jamii Forums mobile app