Uchumba wangu umevunjwa

Uchumba wangu umevunjwa

Joined
Jul 8, 2017
Posts
95
Reaction score
29
Wadau, Mimi ni mwanaume....kuna tatizo limenikumba na kuharibu uchumba wangu. Nilikuwa na mchumba wangu nyumbani kwangu,mida ya saa 5 usiku. Kabla hatujalala tukiwa wote,wakati huo nilikuwa niki-set alarm huku mchumba wangu akiiangalia simu yangu,ghafla iliingia sms ya mahaba mazito kutoka kwa mtu nisiyemfahamu.....kulingana na sms hiyo alidai kuwa amemisi penzi langu sana na angetamani tuonane,hivyo nimfuate au kama nipo bize aje yeye..Kiukweli nilichanganyikiwa na mwanamke wangu alishindwa kunielewa. Nkampigia simu hakupokea, akadai yupo kwenye makelele akitoka atanipigia. Nkamuuliza wewe ni nani ....akadai yeye ni Vero mpenzi wangu. Wakati mimi sijawahi kuwa na mpenzi wala mtu wa karibu au ambae nina mazoea nae tu,anaeitwa Vero. Nilipoendelea kupiga simu yake hakupokea akadai atanipigia soon..... Mwanamke wangu alishindwa kunielewa na akaondoka usiku ule. Alipoondoka nilimtafuta huyo muhuni lakin hakupokea simu,akidai yupo kwenye sherehe ....akitoka atanitafuta,lakini mpaka napaandika uzi huu sijapokea simu yake na mara nyingi hapatikani.

Wadau naomba mnisaidie nitamfahamu vipi huyu mtu ambae lengo lake ni kuniharibia mambo yangu.
Naambatisha na "conversation" tulofanya na huyo muhuni.
Screenshot_20190123-071117~01.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli umeula wa MAWE mkuu hadi uje kumalizana na huyu muhuni mchumba wako kishapata muhuni mwingine pole sana kamanda.
Ni kweli ntapata shida. Ndo maana nkaomba msaada hapa. Ila kwa jinsi conversation ilivyo, ni wazi kwamba huyu ni muhun flan na si mpenz wangu, kwa upande wangu mimi naelewa kuwa ni upuuzi flan...lakini mchumba wangu halielewi hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia mbinu za kishushu ukweli utaujua mkuu, it can be game if mind huyo demu wako amemuaandaa mtu ili iwe over, ungeanza kuchunguza nyendo za huyo uliyejiaminsha mchumba wako, huenda alikua kazini hapo. Au kuna demu kajua leo uko na nani hapo gheto na Hafurahii na uhusiano wenu akaamua afanye hivyo. Kazi ndogo hiyo, kupata chanzo cha tatizo, unahitaji muda na kuzifanyia kazi hisia (HISI)
Nawasilisha
 
Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mimi mwenye uzowefu kwenye hii sekta ya mahusiano, naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.....Huyo mwanamke alikua hakupendi, na alikua ana target umkosee ili apate strong reason ya kukuacha.
Kimsingi ipo hivi...... Mwanamke kama anakupenda, hata ikitokea amekufumania ukiwa kifuani mwa mwanamke mwingine huyo hawezi akakuacha ama lahh, atakupa nafasi ya kukusikiliza basi hata umdanganye na kisha maisha yaendelee.

Naomba kuwasilisha
IMG-20190122-WA0015.jpg
 
Tumia mbinu za kishushu ukweli utaujua mkuu, it can be game if mind huyo demu wako amemuaandaa mtu ili iwe over, ungeanza kuchunguza nyendo za huyo uliyejiaminsha mchumba wako, huenda alikua kazini hapo. Au kuna demu kajua leo uko na nani hapo gheto na Hafurahii na uhusiano wenu akaamua afanye hivyo. Kazi ndogo hiyo, kupata chanzo cha tatizo, unahitaji muda na kuzifanyia kazi hisia (HISI)
Nawasilisha
Asante...shida ni kwamba nmetumia watu kama wa4,nmewapa no ili wamfuatilie lakin hajibu sms wala calls....na mara nyingi hapatikani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huyo mchumba wako nae alishakuchoka kwa mambo yako hapo ndo kashapata gear ya kuondokea. Ila kama hakukuchoka rudi kwake na jiandae psychologically kwa utakayokutana nayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha was thinking the same kabisa! Huyu katafuta namna ya kuachana na jamaa wakaamua kucheza dili. Haiwezekani iingie text badala ya kukaa muongee myamalize wewe unanyanyuka na kuondoka.... Rahisi kihivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, Mimi ni mwanaume....kuna tatizo limenikumba na kuharibu uchumba wangu. Nilikuwa na mchumba wangu nyumbani kwangu,mida ya saa 5 usiku. Kabla hatujalala tukiwa wote,wakati huo nilikuwa niki-set alarm huku mchumba wangu akiiangalia simu yangu,ghafla iliingia sms ya mahaba mazito kutoka kwa mtu nisiyemfahamu.....kulingana na sms hiyo alidai kuwa amemisi penzi langu sana na angetamani tuonane,hivyo nimfuate au kama nipo bize aje yeye..Kiukweli nilichanganyikiwa na mwanamke wangu alishindwa kunielewa. Nkampigia simu hakupokea, akadai yupo kwenye makelele akitoka atanipigia. Nkamuuliza wewe ni nani ....akadai yeye ni Vero mpenzi wangu. Wakati mimi sijawahi kuwa na mpenzi wala mtu wa karibu au ambae nina mazoea nae tu,anaeitwa Vero. Nilipoendelea kupiga simu yake hakupokea akadai atanipigia soon..... Mwanamke wangu alishindwa kunielewa na akaondoka usiku ule. Alipoondoka nilimtafuta huyo muhuni lakin hakupokea simu,akidai yupo kwenye sherehe ....akitoka atanitafuta,lakini mpaka napaandika uzi huu sijapokea simu yake na mara nyingi hapatikani.

Wadau naomba mnisaidie nitamfahamu vipi huyu mtu ambae lengo lake ni kuniharibia mambo yangu.
Naambatisha na "conversation" tulofanya na huyo muhuni.View attachment 1002396

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke wako hakutaki, amekutengenezea mtego kusudi apate sababu ya kukukimbia...
ACHANA NAYE, UTAUMIA AT FIRST ILA KAZA MOYO KISABUNI, UTAVUKA KIPINDI KIGUMU. Muache aende na katika kipindi cha mpito avoid mahusiano mapya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom